Habari za kitaifa toka ITV (04-03-2011) - VIDEO

Sijabisha lengo za bandiko lake. Nachosema ni vizuri kuanza kuheshimu kazi za wenzetu kwa kuomba ruhusa ya matumizi yake. Kwa mujibu wa Copyright Act of 1999 hii ni infringement kama authorization haijatolewa na mmiliki wa kazi yaani ITV

Soma kipengele kifuatacho

The following acts shall be considered unlawful and shall be of protection and assimilated to infringements of the rights rights protected under this Act:

"... the distribution, import for distribution, broadcasting, communication to the public or making available to the public, without authority, of works, performances, sound recordings or broadcasts, knowing or having reason to know that electronic rights management information has been removed or altered wihout authority."
kwa hili ndio unakumbuka sheria?? ni bora ivunjwe as long as wananchi wanapata access ya habari... na nilivyoelewa mimi hii sio new thing (hiyo clip) ilishatoka for pubklic consumption hivyo kutawanywa inawezekana kabisa, hebu nenda youtube uone clips za habari za dunia nzima zilivyo nyingi, ukimaliza pita ile thread ya JK kudondoka na nenda michuzi uone mahojiano ya mwanakijiji na slaa

i dont like watu tunaokumbushana sheria pale penye kufaidisha wanyonge na watu wa periphery
 
Back
Top Bottom