Habari za kitaifa toka ITV (04-03-2011) - VIDEO | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Habari za kitaifa toka ITV (04-03-2011) - VIDEO

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kitungi, Mar 4, 2011.

 1. kitungi

  kitungi Senior Member

  #1
  Mar 4, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 134
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. g

  gidytitus JF-Expert Member

  #2
  Mar 4, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 332
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  plz kitung naomba unitumie iyo video kwny email addres yangu gidytitus@yahoo.com. Pc yang inashda ya kusoma youtube. Plz nitumie even nw!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #3
  Mar 4, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Wananchi wa Misri wamekuwa wakipiga kura kila wakati, lakini walimchoka Mubarak. Demokrasia sio kupiga kura tu.
   
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  Mar 4, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  DUH Chadema tuko juu sana unaona mnyika alivyofanya mpaka wamekiri walikurupuka. Hao akina Chiligati hatuwataki wasome alama za nyakati warudi makwao naona sasa wanaweweseka tuu
   
 5. W

  Wanzagi Member

  #5
  Mar 4, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Gidytitus, najua hizi video za Habari zinanufaisha wengi tu hasa hasa kwa wale waliombali lakini naomba kuuliza kama una ruhusa ya ITV kubandika hizi video kama sivyo itakuwa ni uvunjaji wa sheria ya hati miliki
   
 6. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #6
  Mar 4, 2011
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Hiyo sheria inayovunjwa ni ipi? Je jurisdiction ya hiyo sheria ni ya nchi gani?
   
 7. P

  Proud Patriot JF-Expert Member

  #7
  Mar 4, 2011
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 220
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  he he,funny! that's news...i mean in like PUBLICLY BROADCASTED,
   
 8. W

  Wanzagi Member

  #8
  Mar 4, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 9. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #9
  Mar 4, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,685
  Likes Received: 644
  Trophy Points: 280
  hizo ni habari na habari lengo lake sio kustarehesha bali kuhabarisha as many peoplew as possible!wake up,this is tha dotcom era,au nyie bado mnaajiri mataipisti?
   
 10. W

  Wanzagi Member

  #10
  Mar 4, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sijabisha lengo za bandiko lake. Nachosema ni vizuri kuanza kuheshimu kazi za wenzetu kwa kuomba ruhusa ya matumizi yake. Kwa mujibu wa Copyright Act of 1999 hii ni infringement kama authorization haijatolewa na mmiliki wa kazi yaani ITV

  Soma kipengele kifuatacho

  The following acts shall be considered unlawful and shall be of protection and assimilated to infringements of the rights rights protected under this Act:

  "... the distribution, import for distribution, broadcasting, communication to the public or making available to the public, without authority, of works, performances, sound recordings or broadcasts, knowing or having reason to know that electronic rights management information has been removed or altered wihout authority."
   
 11. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #11
  Mar 4, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Sijaona kosa kurusha habari hii, maana ametaja chanzo na screen inajitambulisha kwa nembo ya ITV. Ingekuwa ni hivyo, tusingejua yanayoendelea duniani. Ndiyo maana kilasiku inapiganiwa UHURU WA HABARI kuwa ni haki ya msingi.
   
 12. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #12
  Mar 4, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,065
  Likes Received: 3,986
  Trophy Points: 280
  hati miliki mbona hizo clips huwa zina nembo ya mmiliki wake? au? maana nijuavyo mimi katika mambo ya kuelimisha kama haya kinachotakiwa ni ku-acknowledge mtengeneza habari ambapo nembo ya ITV inatosha!
   
 13. pandian

  pandian Member

  #13
  Mar 4, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  me paralegal!
   
 14. W

  Wanzagi Member

  #14
  Mar 4, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwani ktk kuelemisha ndio hutakiwi kuomba ruhusa ya kutumia kazi yao?
   
 15. shiumiti

  shiumiti JF-Expert Member

  #15
  Mar 5, 2011
  Joined: Jun 4, 2009
  Messages: 438
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35

  Kitungi thanks sana mwanawani...... MUNGU AKULINDE!!!!!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. b

  bagamoyo JF-Expert Member

  #16
  Mar 5, 2011
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 4,524
  Likes Received: 2,108
  Trophy Points: 280
  Wenyewe ITV hawajalalamika wala ITV haina account na youtube tukasema Dedichijr wa Youtube anashindana na ITV ktk anga za YOUTUBE.

  Nadhani Dedichijr wa YOUTUBE anafanya kazi nzuri ya kuipromoti ITV na wakati huo huo kuwapa habari Watanzania.

  Ila huwa najiuliza STARTV, CLOUDSTV, ITV n.k kutokuwa na account youtube kama CitizenKenyaTV au NTVkenya au K24TV sababu ni nini hasa? au RADIOFREEAFRICA< RADIO-ONE, CLOUDS FM kushindwa kurusha matangazo kwa internet tatizo ni nini?
   
 17. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #17
  Mar 5, 2011
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Very good.

  Sasa Wanzagi wewe kama Member uliyekubuhu humu ndani kwa nini usiifanye hiyo kazi ya kuomba kibali kutoka ITV? Tunahitaji hiyo ili tuendelee kupata hizo habari kutoka ITV bila mikwara wala mkwaruzo wowote.
   
 18. W

  Wanzagi Member

  #18
  Mar 8, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I dont think its for me to request authorisation that should be the responsibility of the person who uploads the clips
   
 19. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #19
  Mar 8, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Hii video clip sio ya Gidytitus. Hapa amewka link tuu. Video iko hosted Youtube na sio JF. Kama ITV wanataka kulalamika, then watalalamika kwa YouTube. Watakachofanya YouTube ni kuindoa hiyo video.


  Ina maana video zote za YouTube zina authorisation? Kama nilivyosema hapo juu, whether sheria imevunjwa, ITV watalalamika kwa YouTube kwa sababu video ndio iko huko. By the way hiyo definition ulitoa nayo inalack vitu kibao.
   
 20. Click_and_go

  Click_and_go JF-Expert Member

  #20
  Mar 8, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 451
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  thanks mkuu!!!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...