Habari za huzuni Ndugu yetu,Peter Ang"iela Owino Amevamiwa na Majambazi

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
May 24, 2008
10,942
428
Peter Owino mmoja wa watu waliotoa mapokezi na hifadhi kwa Watanzania wengi waliokwenda kusoma uingereza toka miak ya 1990 amevamiwa na majambazi maeneo ya Nzega alikuwa anasafiri akiwa na mke wake na watoto wawili wa miaka 2 na mwingine miezi tisa na wote kukatwa na mapanga vibaya
Ndugu Owino anaishi uingereza na amewasili juzi akiwa likizo fupi kuelekea Nyumbani Sota (shirat )RORYA

Tumwombee Nafuu ya haraka
 
Mungu ampe afya tele na familia yake. Hawa majambazi wa aina zote, kama jamii ikifanikiwa kuwatia mikononi, wauliwe kabisa. Sijui cha haki za binadamu wala nini katika suala hili pekee kwa majambazi kukosesha watu amani. Hivi nyumba zao hatuzijui then tuzitie petrol usiku wa manane??? Kweli nikijua jambazi nitamtafutia wahuni wammalize, na inawezekana!!!
 
Wahuni ni sehemu au ni jamii ya ujambazi
 
Huyu jamaa ndio yule mwenyekiti wa tawi la chama cha mafisadi London anaejitayalisha kunvaa Sarungi mwaka kesho au ni namesake tu?
 
Back
Top Bottom