Tetesi: Habari za hivi punde: Kinana ameandika barua ya kujiuzulu

Master plan wa CCM anaondoka ? Kama CCM hawajaandaa mbadala wake its better wamuombe aendelee najua wachache sana watanielewa .

Mkuu, Waziri Nape nadhani anafaa kama strategist wa chama!:(
 
Aliondoka yule master planner wa kuchakachua kura (Mzee Chizi aliyehamia CDM na Lowasa) lakini haikuleta athari. Hivyo hata Kinana akipumzika watapatikana maplanner wengine.[/QUOTEMaster planner alieshindwa kuplan jinsi atakavyokatwa.
 
Anajiuzulu sasa hivi au baada ya mkutano mkuu? Maana kama kajiuzulu sasa hivi hana haki ya kuhudhuria vikao vijavyo kwa cheo hicho.
Na kama kafanya hivyo basi mambo sio shwari hata kidogo tusidanganyane
 
Mkuu Lizaboni chimbua hili jambo usiwe tu unabisha haraka, ila pia wewe shemkunde hii habari haina nyama kabisa ni mifupa mitupu!!!.
Ndiyo mana nikaona ni vyema nikaileta hapa... Mana kuna mtu mmoja kwenye comment za mwanzo amekiri na yeye kuisoma kwenye magazeti ya leo....
 
Labda kapewa kazi ya usemaji wa ccm
Anatarajia kanafasi katika chama ndo maana anabwabwaja hata ya uongo dada wa watu na hii Zaidi baada ya kusikia mkulu kaya anasomaga mitandao ya jamii. Muacheni atetee maslahi ya tumbo lake. Usishangae kesho na keshokutwa akaja na uzi hapa kuwa kinana msaliti. Huyo Lizaboni ni mropokoji asiyeweza kabisa kuficha dhamira yake ya tamaa ya cheo. Na hawa ndio vijana wetu wa kujenga taifa. Msiba
 
Nikiwa ndiyo nakimalizia kukisikilizia kipindi cha morning magic, nimesikia wakitangaza kwa ufupi mnoo kuwa Kinana ameandika barua ya kujiuzulu.

Mwenye taarifa zaidi.... Kipi kilichopelekea mpk kuomba kujiuzulu..
Karibu tujadili.
Ameanza kuisoma namba
 
Lizaboni naona ndio kasema ukweli, huyu ni mzalendo ndani ya CCM na taifa hili la Tanzania. Mungu msaidie Lizabon
 
Nikiwa ndiyo nakimalizia kukisikilizia kipindi cha morning magic, nimesikia wakitangaza kwa ufupi mnoo kuwa Kinana ameandika barua ya kujiuzulu.

Mwenye taarifa zaidi.... Kipi kilichopelekea mpk kuomba kujiuzulu..
Karibu tujadili.
ASAVALI
 
Yote kheri, kila chenye Mwanzo kina mwisho.

Pumzika kwa amani na historia itakukumbuka. Kutoka jeshini hadi spika wa jumuiya ya Afrika Mashariki. Kutoka kampeni Meneja wa mgombea hadi Katibu Mkuu wa CCM. Hongera.
 
ndio utaratibu wa chama. Katibu mkuu anaandika barua ya kujiudhuru kwa niamba ya viongozi wote ili kumpa mwenyekiti mpya kupendekeza atakaofanya nao kazi. NI KWAHERI TU NA SIO KWASHARI.
Katiba ya ccm hiyo ibara ya ngapi.....na kifungu kipi tukasomr au ni zile sheria za kitamaduni
 
Back
Top Bottom