Habari za asubuhi

kilimasera

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
3,068
268
KIZIGUA: Kugona vihi = Habari za asubuhi KINYAKYUSA: Ughonile = Habari za asubuhi KIYAO: kwimukaga = Habari za asubuhi KIPARE: Murevuka = Habari za asubuhi KIUNGUJA: wambaje = Habari za asubuhi KISAMBAA: Onga makeo = Habari za asubuhi KIANGAZA: Mwalamtse = Habari za asubuhi KINYAMWEZI: Mwangaluka = Habari za asubuhi KICHAGA: Shimbonyi = Habari za asubuhi KIMERU: Konumbware = Habari za asubuhi KIMASAI: Sopai = Habari za asubuhi KISUKUMA: Mwadila = Habari za asubuhi KIHEHE: Kamwene = Habari za asubuhi KIBENA: Kamwene = Habari za asubuhi KIKINGA: Ulamwihe = Habari za asubuhi KINYIRAMBA: Ulalaliani = Habari za asubuhi KIHAYA: Wabonaki = Habari za asubuhi
 
Umejitahidi kuchapia ila cha kukumbuka ni kwamba sio kila salamu ya kikabila (kilugha) ni habari ya asubuhi. Mfano sio kweli kwamba Subhai (wewe umeandika sopai) kama habari ya asubuhi kwa kimasai hii sio kweli, subhai ni kama kusema habari yako.
 
Hata Kihaya Wabonaki siyo habari za subuhi. Sahihi ni olailota au Waitu olailotaige kwa kihaya cha Kiziba. Wabonaki ni kama umeshindaje au habari za saa hizi.
 
Huyu jamaa anatulisha uongo mtupu: hata wasukuma "mwadila" ni habari za mchana/jioni. Habari za asubuhi = "mwangaluka" kama alivyoonyesha kwa Nyamwezi
 
Umejitahidi kuchapia ila cha kukumbuka ni kwamba sio kila salamu ya kikabila (kilugha) ni habari ya asubuhi. Mfano sio kweli kwamba Subhai (wewe umeandika sopai) kama habari ya asubuhi kwa kimasai hii sio kweli, subhai ni kama kusema habari yako.

Hata kisukuma habari za asubuhi ni mwangaluka, huyu kajijitahidi kweli kuchapia;)
 
KIZIGUA: Kugona vihi = Habari za asubuhi KINYAKYUSA: Ughonile = Habari za asubuhi KIYAO: kwimukaga = Habari za asubuhi KIPARE: Murevuka = Habari za asubuhi KIUNGUJA: wambaje = Habari za asubuhi KISAMBAA: Onga makeo = Habari za asubuhi KIANGAZA: Mwalamtse = Habari za asubuhi KINYAMWEZI: Mwangaluka = Habari za asubuhi KICHAGA: Shimbonyi = Habari za asubuhi KIMERU: Konumbware = Habari za asubuhi KIMASAI: Sopai = Habari za asubuhi KISUKUMA: Mwadila = Habari za asubuhi KIHEHE: Kamwene = Habari za asubuhi KIBENA: Kamwene = Habari za asubuhi KIKINGA: Ulamwihe = Habari za asubuhi KINYIRAMBA: Ulalaliani = Habari za asubuhi KIHAYA: Wabonaki = Habari za asubuhi

sasa kama kila alichoandika kachapia do we still need this post here????
 
na pia shimbonyi sio habari za asubuhi....kafanye utafiti vizuri ndio uje uitundike hapa
 
sasa kama kila alichoandika kachapia do we still need this post here????

Jamaa nadhani kafanya kitu cha busara at least kwa 'kuonesha njia', na kwa lile alilokosea/kutoweka it was our turn kufanya hivyo then. I will be glad kujua ni jinsi gani makabila tofauti tofauti nyumbani Tz wanasalimiana. Its a bit trickily kujua each n every tribe wanavosalimiana na pengine kupatia kwa usahihi.
 
Back
Top Bottom