Habari za asubuhi wadau humu

laurent lecky

Member
Jun 14, 2016
8
2
Mwenzenu wiki nzima mgongo unaniuma bado sijajua tatizo ila ningeomba kujua labda ni dalili za ugonjwa gani..
 
Pole sana mkuu, unaonaje ukaenda kwa mtaalamu hospital au pharmacy akusaidie
 
Back
Top Bottom