Habari ya wanandoa kutumiwa picha za ngono ni uongo

Mimi bado haijaniingia akilini kwa nini [kama ni kweli] hao wahusika waliongea na kituo cha redio.

Walifanya hivyo kwa minajili gani?

Nani mwenye akili timamu anaweza kuongelea suala la fedheha namna hiyo kwenye chombo cha habari?

Akili yangu imegoma kabisa hapo.

Halafu sasa...hizo picha mbona kama zipo mtandaoni tokea zamani.

Nakumbuka kama nilishawahi kuziona pahala [Kanusho: mimi siyo kwamba ni mdau wa hayo mapicha na masinema ya ngono. Kwenye hizi zama za utandawazi kukutana na hayo makitu ni jambo la kawaida].
 
Hahahahahaha......lazima ujenge uzio wakutoulizwa viswali vya hapa na pale
 
Pchaa ya harusi iliotumwa mitandaoni ni tofauti kabisaa na yule dada waliomuhoji Efm.bt inaonesha ni kweli manaa dada wa harusi hafanani kabisa na yule 0656
 
Mimi bado haijaniingia akilini kwa nini [kama ni kweli] hao wahusika waliongea na kituo cha redio.

Walifanya hivyo kwa minajili gani?

Nani mwenye akili timamu anaweza kuongelea suala la fedheha namna hiyo kwenye chombo cha habari?

Akili yangu imegoma kabisa hapo.

Halafu sasa...hizo picha mbona kama zipo mtandaoni tokea zamani.

Nakumbuka kama nilishawahi kuziona pahala [Kanusho: mimi siyo kwamba ni mdau wa hayo mapicha na masinema ya ngono. Kwenye hizi zama za utandawazi kukutana na hayo makitu ni jambo la kawaida].
Funika kombe hiyo.

Tz baby, Tz baby.
 
Back
Top Bottom