Habari ya wanandoa kutumiwa picha za ngono ni uongo

Mimi bado haijaniingia akilini kwa nini [kama ni kweli] hao wahusika waliongea na kituo cha redio.

Walifanya hivyo kwa minajili gani?

Nani mwenye akili timamu anaweza kuongelea suala la fedheha namna hiyo kwenye chombo cha habari?

Akili yangu imegoma kabisa hapo.

Halafu sasa...hizo picha mbona kama zipo mtandaoni tokea zamani.

Nakumbuka kama nilishawahi kuziona pahala [Kanusho: mimi siyo kwamba ni mdau wa hayo mapicha na masinema ya ngono. Kwenye hizi zama za utandawazi kukutana na hayo makitu ni jambo la kawaida].

...halafu picha zenyewe haziendani na zama ambazo zinatajwa kwenye audio clip, yaani miaka saba tokea sasa kurudi nyuma yaani 2009.

Mwanadada mwenyewe anaonekana akichezea smartphone ya halotel, mtandao uliongia nchini mwaka jana tu. Kifupi yale mapicha hayahusiani na story ya redioni.

Na sasa, kama story zenyewe za redioni ni za kutunga au za kweli it's a different matter

Kifupi naona kuna michezo isiyoeleweka mitandaoni.
 
nina mashaka na kanusho lako

Nami nina mashaka na mashaka yako! Hahahaa

Hujambo lakini we Cesilia..?

Jina zuri kweli hilo. Lilikuwa moja ya majina mawili yaliyobaki wakati natafuta jina la kumpa binti yangu.

Nikija kupata binti mwingine nitamwita hilo...;)
 
  • jamaa kaishaliswa libwata na haelewi tena...kwani kama sijakosea nilisoma mwanamke alikubali kuwa ni za kwake na alikuwa na uhusiano na kijana huyo akiwa chuo....sasa iweje leo iwe ni photo shop.....????
 
...halafu picha zenyewe haziendani na zama ambazo zinatajwa kwenye audio clip, yaani miaka saba tokea sasa kurudi nyuma yaani 2009.

Mwanadada mwenyewe anaonekana akichezea smartphone ya halotel, mtandao uliongia nchini mwaka jana tu. Kifupi yale mapicha hayahusiani na story ya redioni.

Na sasa, kama story zenyewe za redioni ni za kutunga au za kweli it's a different matter

Kifupi naona kuna michezo isiyoeleweka mitandaoni.
sasa mkuu wewe kama unasema ni matokeo mawili tofauti kwa nini yule mwanamke alie kwa uchungu vile kwamba anaona aibu picha zake zinasambaa ni zipi hizo? ulifatilia wakati wakihojiwa e fm?
asingeweza kulia bure wala hakuna kitu cha kutunga wala nini ni ukweli mtupu
 
Mimi bado haijaniingia akilini kwa nini [kama ni kweli] hao wahusika waliongea na kituo cha redio.

Walifanya hivyo kwa minajili gani?

Nani mwenye akili timamu anaweza kuongelea suala la fedheha namna hiyo kwenye chombo cha habari?

Akili yangu imegoma kabisa hapo.

Halafu sasa...hizo picha mbona kama zipo mtandaoni tokea zamani.

Nakumbuka kama nilishawahi kuziona pahala [Kanusho: mimi siyo kwamba ni mdau wa hayo mapicha na masinema ya ngono. Kwenye hizi zama za utandawazi kukutana na hayo makitu ni jambo la kawaida].
cheka sana! ni kweli sio mdau yani ni kitendo cha kuscroll tu unaangukia kusiko.
 
Nasikiliza clouds fm now bwana harusi kwa jina Kaizary asema kuhusu hizo picha ni uongo na ni photoshop na yule mwanamke wa kwenye zile picha si mke wake bi Susan.
Kesi iko police na wahusika kuanza kusakwa.
Wanajaribu kuzuia mafuriko kwa mkono
 
Niliwaambia watu ni fix, tena mara kadhaa, hawakutaka kunielewa.

Mbona wala haikuwa vigumu kufikiria hilo?

Mimi niliposikiliza tu maelezo yao swali la kwanza lililonijia kichwani ni 'kwa nini?'

Kwa nini wafanye mahojiano na chombo cha habari? Lengo lilikuwa nini?

Yaani uutangazie umma kuhusu jambo dhalili kama hilo?

Hapo ndo nikaanza kupatwa na shaka!
 
mkuu hapa nakuuliza swali kama taarifa zilipelekwa huko kwenye vituo vya habar na waandishi wa habari kwa ajili ya udaku na mambo mengine wa e-fm wakaona haitoshi wakaamua kuwaungia wana ndoa na kuuliza kulikoni hapo haiji mkuu?
think twice
 
Wewe unajua kusoma au ulisomewa ile habari mkuu, isikute najibizana na illiterate!

Natilia mashaka uwezo wako wa akili, kwani mwisho wa ile thread hukuona chanzo cha taarifa mkuu?
mkuu achana nae kama haamini analoona na kushuhudia kwa macho yake unadhani hata vilivyofichwa sirini ataweza kweli?
usimuulize tena sio uwezo wake ana akili ndogo usimzidishie mzigo ataanguka
 
mkuu achana nae kama haamini analoona na kushuhudia kwa macho yake unadhani hata vilivyofichwa sirini ataweza kweli?
usimuulize tena sio uwezo wake ana akili ndogo usimzidishie mzigo ataanguka
Namfuatilia toka jana hana HOJA yoyote ya msingi! Nimemuacha mkuu
 
mkuu hapa nakuuliza swali kama taarifa zilipelekwa huko kwenye vituo vya habar na waandishi wa habari kwa ajili ya udaku na mambo mengine wa e-fm wakaona haitoshi wakaamua kuwaungia wana ndoa na kuuliza kulikoni hapo haiji mkuu?
think twice

Hujanielewa.

Nachosema mimi ni kwamba, kama ni kweli hayo mambo yalitokea, kwa nini hao wahusika waongee na chombo cha habari?

Hayo yanayosemwa kutokea, mimi nayaona kuwa ni dhalili sana.

Sasa wao waliona ni sawa kuongelea mambo yao kwenye hiyo redio?

Hmm...labda.... maana watu tumetofautiana.

Ingekuwa ni mimi mambo ya waandishi wa habari yangekuwa ya mwisho kabisa katika vipaumbele vyangu kama ningejikuta kwenye hali kama hiyo.

So to each his/ her own.
 
Back
Top Bottom