Habari ya wanandoa kutumiwa picha za ngono ni uongo

Sowo

Senior Member
Jun 22, 2014
141
225
Wewe umechanganya huyu wa Clouds na yule mwingine, wa Clouds mtuhumiwa ni Mwanamke ila yule mwingine mtuhumiwa mkuu ni Mwanamke na iliripotiwa toka E FM na katika tukio lile ilionesha mwanamke anafanyiwa vitendo kinyume na maumbile

Kwa hiyo jaribu kuangalia tofauti hapo
 
msondomba

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
1,450
2,000
Kama Ni kweli E-FM wakamatwe kwa kucheza na hisia za watu, walivotuweka busy jamani. ....lol
Ishu ni kwamba bwana Kaizary aliyehojiwa Clouds amelalamika picha za harus yake kutumika kuhusisha na zile picha Chafu kwani mke wake ni tofauti na yule wa kuliwa tigo na mume aliyehojiwa Efm ni tofauti na sauti yake yy Kaizar ivyo wamepeleka kesi polisi na kushirikiana na rafik yao aliyepo Sweden wameshamjua aliyetuma zile picha za Harusi anaitwa somebody FAKI, jina la pil kamuulizeni Kibonde ndo alikua anamhoji...
 
Philipo D. Ruzige

JF-Expert Member
Sep 25, 2015
7,427
2,000
Ha ha ha... Bwana harus na bi harusi wamehojiwa e-fm clean clear bila chenga na mzigo wadau wameuona clean clear HD sasa hayo ya clouds fm ni chenga tuuu..
 
God'sBeliever

JF-Expert Member
Sep 1, 2015
5,816
2,000
Ishu ni kwamba bwana Kaizary aliyehojiwa Clouds amelalamika picha za harus yake kutumika kuhusisha na zile picha Chafu kwani mke wake ni tofauti na yule wa kuliwa tigo na mume aliyehojiwa Efm ni tofauti na sauti yake yy Kaizar ivyo wamepeleka kesi polisi na kushirikiana na rafik yao aliyepo Sweden wameshamjua aliyetuma zile picha za Harusi anaitwa somebody FAKI, jina la pil kamuulizeni Kibonde ndo alikua anamhoji...
zile picha za watu wanasema hazifanani ila najua zinafanana sababu zile zilizowekewa alama zisionyeshe utupu na ziliongezewa giza ili kuficha sura ya mtu ila najua ni kweli.
wanajitahidi kupumbaza watanzania ila sisi wenye maono ya kweli tyuliosikiliza ile audio na picha zenyewe tunajua mtu ni yule yule. shirikisha ubongo mdau
 
God'sBeliever

JF-Expert Member
Sep 1, 2015
5,816
2,000
Ha ha ha... Bwana harus na bi harusi wamehojiwa e-fm clean clear bile chenga na mzigo wadau wameuona clean clear HD sasa hayo ya clouds fm ni chenga tuuu..
naona hawa clouds wanataka kutuona watoto wadogo. ishu ni yakweli hata ukifatilia ile audio na wakati anahojiwa e fm utajua ni ukweli nhalisi hiawezi kuwa movie ni ukweli mtupu. hata wazazi wa yule mwanamke wanafanana kabisa na mtoto wao.
pia kama huamini watu wa karibu na hao ndugu watashusha ukweli ambao mimi nauamini dunia haina siri
 
cesilia

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
1,234
2,000
Mimi bado haijaniingia akilini kwa nini [kama ni kweli] hao wahusika waliongea na kituo cha redio.

Walifanya hivyo kwa minajili gani?

Nani mwenye akili timamu anaweza kuongelea suala la fedheha namna hiyo kwenye chombo cha habari?

Akili yangu imegoma kabisa hapo.

Halafu sasa...hizo picha mbona kama zipo mtandaoni tokea zamani.

Nakumbuka kama nilishawahi kuziona pahala [Kanusho: mimi siyo kwamba ni mdau wa hayo mapicha na masinema ya ngono. Kwenye hizi zama za utandawazi kukutana na hayo makitu ni jambo la kawaida].
nina mashaka na kanusho lako
 
bridalmask

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
2,195
2,000
Nasikiliza clouds fm now bwana harusi kwa jina Kaizary asema kuhusu hizo picha ni uongo na ni photoshop na yule mwanamke wa kwenye zile picha si mke wake bi Susan.
Kesi iko police na wahusika kuanza kusakwa.
Wamekutuma uje kutuambia au wewe ni mdau mmojawapo???
Dunia ya sasa ni kitongoji most of Tanzanians we're very familiar with IT Art..more than Adobe,Amara....ect.
 
Simplicity.

JF-Expert Member
Dec 19, 2013
2,640
2,000
Mimi bado haijaniingia akilini kwa nini [kama ni kweli] hao wahusika waliongea na kituo cha redio.

Walifanya hivyo kwa minajili gani?

Nani mwenye akili timamu anaweza kuongelea suala la fedheha namna hiyo kwenye chombo cha habari?

Akili yangu imegoma kabisa hapo.

Halafu sasa...hizo picha mbona kama zipo mtandaoni tokea zamani.

Nakumbuka kama nilishawahi kuziona pahala [Kanusho: mimi siyo kwamba ni mdau wa hayo mapicha na masinema ya ngono. Kwenye hizi zama za utandawazi kukutana na hayo makitu ni jambo la kawaida].

Niliwaambia watu ni fix, tena mara kadhaa, hawakutaka kunielewa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom