Habari ya mshtuko kuhusu NACTE?

chilubi

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
8,182
6,208
habari zenu wana ukumbi wa JF.

Mimi jana nimepata habari za mshtuko kuhusiana na NACTE. kuna wanafunzi wameapply degree ktk baadhi ya vyuo visiwani zanzibar lakini kwa bahati mbaya wamekosa. na miongoni mwa sababu za kukosa ni kuwa hawana credit za form 4, nikimaanisha kuwa lazima uwe na C 5, yaani hata kama ulipomaliza form 4 ukaenda kujiunga na Certificate programs na ukapata na diploma basi bado huendelei kwenda degree mpaka upate izo C 5 za form 4, manake urejee tena mtihani.

Je hili jambo ni Kweli? na kama kweli kuna umuhimu gani wa wnafunzi kuanza ngazi ya cheti wakati huruhusiwi kuanza degree mpaka uwe na C 5 za form 4? Je walioomba Degree vyuoni majina yao hupelekwa NACTE?

Mimi naona Elimu ya tanzania ni kuharibiana maisha tu na ndio maana watu huenda nje kusoma.
 
Ndugu yangu sifa za kujiunga katika vyuo vikuu ziko za aina tatu:

1. Sifa za moja kwa moja (waliomaliza kidato cha sita, kwa maana kwamba wana principal pass za kidata cha nne na credit za kidato cha nne)
2. Sifa linganishi (kwa waliomaliza kidato chan nne au cha sita na wakaenda kusoma diploma, kwa hiyo cheti kinachoangaliwa zaidi ni cha diploma, na baadhi ya masomo aliyofaulu kidato cha nne au sita)
3. Mature age entry (Kwa mtu yeyote baada ya kufanya mtihani maalumu ulioandaliwa na chuo husika)

Sasa inategemea huyo ndugy yako wakati anaomba nafasi aliomba katika kundi lipi. Ikiwa alitakiwa kutumia sifa linganifu kwa kutumia diploma yake, lakini akatumia sifa linganifu, wa kujilaumu ni yeye mwenyewe. Pamoja na hayo, kila chuo kina utaratibu wake na sifa za kuingilia chuo
 
hawa waliokosa na kupewa hiyo sababu walikua na cheti cha form 4 ambacho hakina pass za kuanza diploma moja kwa moja lkn alianza Certificate, akaingia Diploma na sasa wana apply wamekosa!! mm kwa uelewa wangu ikiwa mtu una cheti cha Certificate na cha diploma basi hauna sababu ya kuzuiliwa usiendelee na degree!! au sivyo?
 
Mh!tuweke sawa hapo kaka nnavyojua mimi ni C 3 za CSEE ndio zinazotakiwa na co 5
 
ndio maana wanataka mtu ukaze usilete mchezo na shule..

ila huwa ni C 3 na sio tano kama una equivalent kutikana na NACTE ni wazushi hilo la wezekana..
 
Lakini mi naona kama huna sifa za University waweza kutafuta vyuo vya Diplomas usije kulazimisha tena huko kwenye mwaka wa pili au watatu ukapata Disco!!!1
 
habari zenu wana ukumbi wa JF.

Mimi jana nimepata habari za mshtuko kuhusiana na NACTE. kuna wanafunzi wameapply degree ktk baadhi ya vyuo visiwani zanzibar lakini kwa bahati mbaya wamekosa. na miongoni mwa sababu za kukosa ni kuwa hawana credit za form 4, nikimaanisha kuwa lazima uwe na C 5, yaani hata kama ulipomaliza form 4 ukaenda kujiunga na Certificate programs na ukapata na diploma basi bado huendelei kwenda degree mpaka upate izo C 5 za form 4, manake urejee tena mtihani.

Je hili jambo ni Kweli? na kama kweli kuna umuhimu gani wa wnafunzi kuanza ngazi ya cheti wakati huruhusiwi kuanza degree mpaka uwe na C 5 za form 4? Je walioomba Degree vyuoni majina yao hupelekwa NACTE?

Mimi naona Elimu ya tanzania ni kuharibiana maisha tu na ndio maana watu huenda nje kusoma.

Kama aliomba kwa "equivalent entry" ambao ndio majina yao yanapelekwa nacte na amekosa kwa sababu hiyo uliyoitaja nadhani anaweza kuwa kidato cha nne hakufikisha angalau C tatu.

Vinginevyo muulize akuelezee vizuri, nacte wametoa sababu zipi nyingine za kukosa nafasi kwakuwa unasema hiyo ni miongoni mwa sababu zilizotolewa.
 
habari zenu wana ukumbi wa JF.

Mimi jana nimepata habari za mshtuko kuhusiana na NACTE. kuna wanafunzi wameapply degree ktk baadhi ya vyuo visiwani zanzibar lakini kwa bahati mbaya wamekosa. na miongoni mwa sababu za kukosa ni kuwa hawana credit za form 4, nikimaanisha kuwa lazima uwe na C 5, yaani hata kama ulipomaliza form 4 ukaenda kujiunga na Certificate programs na ukapata na diploma basi bado huendelei kwenda degree mpaka upate izo C 5 za form 4, manake urejee tena mtihani.

Je hili jambo ni Kweli? na kama kweli kuna umuhimu gani wa wnafunzi kuanza ngazi ya cheti wakati huruhusiwi kuanza degree mpaka uwe na C 5 za form 4? Je walioomba Degree vyuoni majina yao hupelekwa NACTE?

Mimi naona Elimu ya tanzania ni kuharibiana maisha tu na ndio maana watu huenda nje kusoma.

mwambie huyo ndugu yako afanye tena mitihani ya ACSEE aache kulazimisha maana elimu ya Tanzania imezidi kuchukuliwa kiurahisi wewe utakosaje C 5 mitihani ya o level halafu uende chuo ukafanye nini???.....elimu ya Tanzania sasa hiko safi kabisa wameanza na hao wanaochukulia poa bado kuanza msako wa kufunga vyuo.
 
habari zenu wana ukumbi wa JF.

Mimi jana nimepata habari za mshtuko kuhusiana na NACTE. kuna wanafunzi wameapply degree ktk baadhi ya vyuo visiwani zanzibar lakini kwa bahati mbaya wamekosa. na miongoni mwa sababu za kukosa ni kuwa hawana credit za form 4, nikimaanisha kuwa lazima uwe na C 5, yaani hata kama ulipomaliza form 4 ukaenda kujiunga na Certificate programs na ukapata na diploma basi bado huendelei kwenda degree mpaka upate izo C 5 za form 4, manake urejee tena mtihani.

Je hili jambo ni Kweli? na kama kweli kuna umuhimu gani wa wnafunzi kuanza ngazi ya cheti wakati huruhusiwi kuanza degree mpaka uwe na C 5 za form 4? Je walioomba Degree vyuoni majina yao hupelekwa NACTE?

Mimi naona Elimu ya tanzania ni kuharibiana maisha tu na ndio maana watu huenda nje kusoma.

mwambie huyo ndugu yako afanye tena mitihani ya CSEE aache kulazimisha maana elimu ya Tanzania imezidi kuchukuliwa kiurahisi wewe utakosaje C 5 mitihani ya o level halafu uende chuo ukafanye nini???.....elimu ya Tanzania sasa hiko safi kabisa wameanza na hao wanaochukulia poa bado kuanza msako wa kufunga vyuo safi sana NACTE.
 
C 3 ndizo zinazotakiwa ila kama una certificate huna haja ya kuwa na credit unaenda moja kwa moja Diploma na kama Nacte wamefanya hivyo basi kazi imewashinda bora wakauze mafenesi.................
 
Back
Top Bottom