habari zenu wana ukumbi wa JF.
Mimi jana nimepata habari za mshtuko kuhusiana na NACTE. kuna wanafunzi wameapply degree ktk baadhi ya vyuo visiwani zanzibar lakini kwa bahati mbaya wamekosa. na miongoni mwa sababu za kukosa ni kuwa hawana credit za form 4, nikimaanisha kuwa lazima uwe na C 5, yaani hata kama ulipomaliza form 4 ukaenda kujiunga na Certificate programs na ukapata na diploma basi bado huendelei kwenda degree mpaka upate izo C 5 za form 4, manake urejee tena mtihani.
Je hili jambo ni Kweli? na kama kweli kuna umuhimu gani wa wnafunzi kuanza ngazi ya cheti wakati huruhusiwi kuanza degree mpaka uwe na C 5 za form 4? Je walioomba Degree vyuoni majina yao hupelekwa NACTE?
Mimi naona Elimu ya tanzania ni kuharibiana maisha tu na ndio maana watu huenda nje kusoma.