habari wapendwa

Naila Mbululo

New Member
Nov 30, 2013
2
2
za saa hizi wapendwa,,jamani naombeni msaada..mimi ni msichana naependa sana ujasiriamali tatizo langu ni mtaji..nina idea kibao kuna kusafirisha culture nje,kuna kufungua biashara ya pop corn hizo ndo hasa nazozihitaji mtaji wake ni laki tano,,sina dhamana ya kitu nshaangaika kwenda banks ila ndo hivo nina elimu ya biashara courses na ninapenda biashara,,naombeni msaada wenu wa mawazo mwakan ujao usiishe bila kupata fursa,,naombeni sana
 
Tanzania inaelekea kuzuri sana, Mungu saidia nchi hii iingie "zama za ujasiriamali" kama zilivyopitia nchi nyingine zilizoendelea. Naamini utapata japo kwa mkopo humuhumu JF
 
za saa hizi wapendwa,,jamani naombeni msaada..mimi ni msichana naependa sana ujasiriamali tatizo langu ni mtaji..nina idea kibao kuna kusafirisha culture nje,kuna kufungua biashara ya pop corn hizo ndo hasa nazozihitaji mtaji wake ni laki tano,,sina dhamana ya kitu nshaangaika kwenda banks ila ndo hivo nina elimu ya biashara courses na ninapenda biashara,,naombeni msaada wenu wa mawazo mwakan ujao usiishe bila kupata fursa,,naombeni sana
Habari. Vipi ulifanikwa kuanza biashara ya pop corn? Naomba uzoefu tafadhali. Nahitaji mashine na bei zake pmoja na mahindi. Kama una taarifa njema, tafadhali. nataka kufungua Singida
 
Back
Top Bottom