U Ukombozi Sasa Member Nov 5, 2010 17 10 Dec 8, 2014 #1 We Hang The Petty Thieves And Appoint The Great Ones To Public Office. Attachments 16776_727212624015140_5398205984682632066_n.jpg 52 KB · Views: 1,289
swissme JF-Expert Member Aug 15, 2013 13,662 19,880 Dec 8, 2014 #2 Wapi hapo ikulu tena haya mapepo ni noma alafu wanakimbilia ikulu swissme:
fundi25 JF-Expert Member Apr 16, 2013 10,379 11,523 Dec 8, 2014 #4 Hahaha pepo hawezi kutoka bila kupigwa mawe amekubuhu Tahadhari majina mengine nuksi walimuita muongo walitegemea nini ? Ukilima bangi huwezi vuna mahindi!
Hahaha pepo hawezi kutoka bila kupigwa mawe amekubuhu Tahadhari majina mengine nuksi walimuita muongo walitegemea nini ? Ukilima bangi huwezi vuna mahindi!
K kinauche JF-Expert Member Oct 17, 2012 7,681 2,211 Dec 8, 2014 #6 Ana uhakika gani kuwa hao wanaomwombea hawana pepo? Watu wanaamua kumchezea Mungu naye amewaachia Shetani awachezee.
Ana uhakika gani kuwa hao wanaomwombea hawana pepo? Watu wanaamua kumchezea Mungu naye amewaachia Shetani awachezee.
zambez JF-Expert Member Dec 28, 2013 2,071 255 Dec 9, 2014 #7 Pepo muongo toka...toka toka ..ikishindikana toka nae...toka muongo toka muhongo..