Habari Picha: Waziri Huyu Aombewa ili Pepo La Uongo Lishindwe

Ukombozi Sasa

Member
Nov 5, 2010
17
10
“We Hang The Petty Thieves And Appoint The Great Ones To Public Office.”
 

Attachments

  • 16776_727212624015140_5398205984682632066_n.jpg
    16776_727212624015140_5398205984682632066_n.jpg
    52 KB · Views: 1,289
Wapi hapo ikulu tena haya mapepo ni noma alafu wanakimbilia ikulu


swissme:
 
Hahaha pepo hawezi kutoka bila kupigwa mawe amekubuhu
Tahadhari majina mengine nuksi walimuita muongo walitegemea nini ? Ukilima bangi huwezi vuna mahindi!
 
Ana uhakika gani kuwa hao wanaomwombea hawana pepo? Watu wanaamua kumchezea Mungu naye amewaachia Shetani awachezee.
 
Pepo muongo toka...toka toka ..ikishindikana toka nae...toka muongo toka muhongo..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom