Habari picha: Vincent nyerere alivyowavua magamba iringa

The Conquerer

Member
Aug 16, 2012
79
94
Haya picha mlizotaka hizo hapo. Nilikuwa busy sikuweza ku - upload mwanzoni.
Mambo aliyozungumzia ni kama ifuatavyo:

1. Serikali isizime tv za analogia kwani wananchi masikini hawataweza kununua ving'amuzi kwa ajili ya kuangalia tv za mfumo wa digitali. Kuwe na uhuru wa kutumia mifumo yote.
2. Waziri mkuu aweke hadharani bajeti ya mwenge (kiasi cha fedha kinachokusanywa na matumizi yake)
3. Rais kikwete aache propaganda za kusema anasifika kimataifa na badala yake ashughulikie kero za wananchi kwa kuwa kero hizo haziondolewi na umaarufu wake kimataifa.
4. Polisi waache kuwanyanyasa wananchi kwani kwa kufanya hivyo wanajitengenezea mazingira ya kuwa wafungwa katika nchi yao pindi serikali ya ccm itakapoangushwa
5. Waziri wa mali asili na utalii arudishe wanyama pori waliouzwa nje kwa kuwa kitendo cha kuuza wanyama pori wetu nje kutafanya watalii wasije tena nchini mwetu na hivyo kuendelea kupoteza mapato na kuwa wategemezi zaidi
6. Serikali iache kukopa kopa nje kwa miradi ya maendeleo na badala yake itumie mapato ya rasilimali zetu kuendesha miradi ya maendeleo
 

Attachments

  • SAM_0505.JPG
    SAM_0505.JPG
    1.7 MB · Views: 234
  • SAM_0519.JPG
    SAM_0519.JPG
    1.7 MB · Views: 146
  • SAM_0564.JPG
    SAM_0564.JPG
    1.8 MB · Views: 122
  • SAM_0566.JPG
    SAM_0566.JPG
    1.4 MB · Views: 107
  • SAM_0576.JPG
    SAM_0576.JPG
    1.1 MB · Views: 124
Huyu ndio mzalendo wa kweli na matumaini mapya kwa watanzania yanakuja.watanzania tuunge mkono mabadiliko kumbukeni "ccm sio baba yenu" haya ndio maneno aliotuachia mwalimu ni dhahiri kuona kizazi hiki wakiwemo wazalendo kutoka familia ya ,mwalimu kutaka mabadiliko,big up to vincent nyerere ni mtanzania mwenye nia ya dhati kuwakomboa watanzania wa sasa.
 
Ukuti ccm ja nyerere na vana va nyerere valiku chadeema? Vose valikunu ku chama cha vatanzania ndaga kyalaaa vanyakyusa ccm ofwileeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Imekaa vizuri,hawa ndiyo wana wa agano,la waTanzania waliokata tamaa,waliochosha,waliotayari kwa chochote,na Chadema ambalo ndilo TUMAINI lao,
Pamoja Tutashinda.
 
vicent nyerere jembe linaloongoza harakati kwa mkono wa MUNGU na wala si kwa nguvu ya vigagula
hebu mtazame asivyo na tamaa ya uongozi, speech zake ni ni za hisia lakini zitokazo katika kinywa cha upole lakini dhabiti
 
Chezea Vincent wewe? Chezea CHADEMA wewe? Vincent hakika amerithi ile hekima na akili ya Mwl. Nyerere. Ni mtaratibu, hakurupuki, huongea taratibu lakini mapigo yake ni Makubwa. Katika majimbo aliyotembelea amewakonga nyoyo waliokuwa wakimsikiliza. Fagilia Babaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!. Tunakutakia safari njema Kamanda. Wasalimu Makamanda wa Musoma Mjini.
 
Kamanda vincent nyerere ataunguruma musoma mjini kesho kutwa.

Kk
chezea vincent wewe? Chezea chadema wewe? Vincent hakika amerithi ile hekima na akili ya mwl. Nyerere. Ni mtaratibu, hakurupuki, huongea taratibu lakini mapigo yake ni makubwa. Katika majimbo aliyotembelea amewakonga nyoyo waliokuwa wakimsikiliza. Fagilia babaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!. Tunakutakia safari njema kamanda. Wasalimu makamanda wa musoma mjini.
 
Nimefurahi kijana aliyenena kwa lugha hapo juu, ni msisitizo wa kuchoshwa na thithiem
 
Back
Top Bottom