Habari njema toka kwa mwenzetu Yo Yo

misuli.jpg

Nimepata habari njema toka kwa member mwenzetu mtukuka JF senior Expert Yo Yo kuwa atashindwa kujumuika nasi kwa takribani siku zaidi ya kumi kwa sababu atakuwa kwenye mapumziko mafupi.Amesema kwa kipindi hiki atakuwa mbali na internet ili kujiweka fresh kwa ujio wake mpya.

Muda mwingi kaniambia atakuwa madhabahuni na kupumzisha akili fukweni.Katika kipindi hiki ni wazi tutammiss sana na ni wazi jukwaa litapooza kwa kiasi chake.Tumuombee mwenzetu arudi salama kwani bila yeye forums inapwaya.

.................-K- kuwa makini mwenzetu nayo ni id........................
 
Angalieni msije kutukaba kabali na vijisenti vyetu na visimu vyetu vya mchina teh teh teh teh
 
misuli.jpg

nimepata habari njema toka kwa member mwenzetu mtukuka jf senior expert yo yo kuwa atashindwa kujumuika nasi kwa takribani siku zaidi ya kumi kwa sababu atakuwa kwenye mapumziko mafupi.amesema kwa kipindi hiki atakuwa mbali na internet ili kujiweka fresh kwa ujio wake mpya.

Muda mwingi kaniambia atakuwa madhabahuni na kupumzisha akili fukweni.katika kipindi hiki ni wazi tutammiss sana na ni wazi jukwaa litapooza kwa kiasi chake.tumuombee mwenzetu arudi salama kwani bila yeye forums inapwaya.


msije kutukabaaaaaa jamani
 
Back
Top Bottom