Habari njema: Sekta binafsi yaruhusiwa kuvusha Watu Kigamboni sawia na Vivuko vya Serikali

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
66,596
101,550
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof Mbarawa amesema Sekta binafsi itaendelea kutoa huduma za Vivuko pale Kigamboni sawia na Vivuko vya Serikali

Lengo ni kuhakikisha wananchi wanapata usafiri wa uhakika wakati wote

Source ITV habari
 
sheiza

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
6,548
8,459
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof Mbarawa amesema Sekta binafsi itaendelea kutoa huduma za Vivuko pale Kigamboni sawia na Vivuko vya Serikali

Lengo ni kuhakikisha wananchi wanapata usafiri wa uhakika wakati wote

Source ITV habari
Miaka ya nyuma kulitokea vifo vingi sehemu zenye vivuko binafsi. Miaka mitatu nyuma serikali ilijitahidi kutengeneza vivuko vingi maeneo mbalimbali ikiwemo ujenzi wa madaraja kukatika maji.

Leo serikali inatoa rukhsa kwa mtu yeyote kuvusha watu, je nani atakuwa anakagua uimara wa hivi vivuko ikiwemo vifaa vyote vya tahadhari?

Je ni kweli serikali imeshindwa kutoa huduma ya uhakika ya kuvusha watu kwa usalama zaidi sababu ina mafundi wa kutosha wa temesa, haya ni maisha ya watu.

Wamejipanga kiasi gani kuhakikisha hivi vyombo vitakuwa salama kiasi gani?
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom