Habari njema: Nyumba kubwa inauzwa Mtoni kwa Aziz Ali, Dar es Salaam

Magobe T

JF-Expert Member
Mar 19, 2008
4,620
2,567
Nyumba kubwa inauzwa. Ipo Mtoni kwa Aziz Ali, Dar es Salaam, karibu sana na Kilwa Road. Ina vyumba vya kulala 3 (kimoja master), sebule kubwa, jiko na stoo. Pia kuna banda la uani – vyumba 5 na imezungushiwa ukuta. Ina umeme, maji na sehemu inayoruhusu upanuaji. Inafaa hata kwa wanaotaka kuanzisha shule ya chekechea. Bei yake ni 150m/-. Kwa mawasiliano piga simu: 0715093922, 0754264628 au 0715264628
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom