Habari njema mahakamani kwa Karamagi, Muhongo, Ngeleja na Yona ni Magufuli na Ndugai

Ungana TL kwa pamoja muwe MAWAKILI KUFUNGUA KESI KUTETEA ACACCIA,tena fanyeni haraka kabla hao uliowataja hawajafikishwa mbele ya mkono Wa sheria!
 
Ungana TL kwa pamoja muwe MAWAKILI KUFUNGUA KESI KUTETEA ACACCIA,tena fanyeni haraka kabla hao uliowataja hawajafikishwa mbele ya mkono Wa sheria!

Hakuna atakayefikishwa mbele ya sheria. Mchezo umeisha waliotajirika kupitia chajuu ya mikataba waendelee kufaidi matunda ya juhudi zao.
Wewe na mimi tuendelee kushangilia HAPA KAZI TU bila kusahau HAPA POROJO TU .
Asubuhi njema.
 
mkuu hayo mapambano tumwachie mwenyewe jpm sisi wengine tutafute mkate wa kila siku. kila mara anatuchangaja tu hasa kitendo cha kuwalinda watuhumiwa wakubwa wa wizi huu
 
Watakuuliza kwa nini unatabiri kushindwa kabla ya kesi? Lakini ni wao hao hao ukiwaambia Mbao United ya Mwanza itacheza na Real Madrid ya Hispania hawachelewi kusema kwamba mbao itachezea kichapo cha mbwa mwizi!

Dunia ya wajinga waache waishi wenyewe!
Hahaha
 
IKIWA KUTAKUWA NA HOJA YA KUSHTAKIWA MH KIKWETE,SABABU YA KUSHTAKIWA HAITAKUWA ETI KWA KUWA ALIKUWA WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA (1995-2000-2005)Bali ITAKUWA KWASABABU ALIKUWA WAZIRI WA WIZARA YA MAJI ,NISHATI NA MADINI (1990-1995),RAIS ALIKUWA MH. A.H.MWINYI ,ULISAINIWA MKATABA NA KUTOLEWA LESENI KWA AJILI YA MGODI WA BULYANHULU NA MGODI WA NZEGA,Naomba kufanya marekebisho na kukumbusha Historia, kama nimeteleza niko tayari kurekebishwa
 
Back
Top Bottom