Habari njema kweli. Kenya tumepata waziri mzuri wa fedha

Tony254

JF-Expert Member
May 11, 2017
16,017
16,427
Leo nimefurahi kusikia kuwa Ukur Yatani amefanywa kuwa waziri wa fedha. Hapo awali alikuwa anashikilia tu nafasi ya Henry Rotich. Rotich sasa amepigwa kalamu. Rotich alikuwa anachukua deni kila corner bila kujali kama Kenya ina uwezo wa kulipa. Alikuwa spendthrift. Lakini Ukur Yattani alipoingia ofisini alipunguza matumizi ya serikali na pia akapunguza kuomba deni. Anataka kubalance budget na kureduce budget deficit which is a good thing. Sasa Kenya tutakuwa financially stable in the next three to four years. He is a prudent financial manager.

Uhuru moves ministers in new Cabinet reshuffle
Tuesday January 14 2020
Munya replaces Kiunjuri in Agriculture as Yattani confirmed in Treasury.

President Uhuru Kenyatta
President Uhuru Kenyatta
HARRY+MISIKO.jpg

By HARRY MISIKO
More by this Author
IN SUMMARY
  • President Kenyatta also made new nominations to the Cabinet.
Advertisement
President Uhuru Kenyatta has fired two men from his Cabinet in new changes announced in Mombasa.
During his State of the Nation Address in Mombasa on Tuesday, the President dropped Mr Kiunjuri as Agriculture Cabinet secretary and replaced Mr Henry Rotich as the National Treasury boss.
While the president did not make any reference to the two in his speech, he appointed Mr Munya to replace Mr Kiunjuri and confirmed acting Treasury Cabinet Secretary Ukur Yattani.
The President also moved CSs Rachel Omamo to the Ministry of Foreign Affairs, Sicily Kariuki to Water ministry, Peter Munya to Agriculture, Monica Juma to Defence and confirmed Ukur Yattani as the National Treasury CS.
NOMINATIONS
Related Stories

President Kenyatta also made new nominations to the Cabinet as follows:
Mutahi Kagwe - CS Health
Betty Maina - CS Industrialisation
John Weru - PS Trade
Dr Jwan Ouma - PS Vocational and Technical Training
Mary Kimunye - PS Public Service
Simon Nabukwesi - PS University Education and Research
Solomon Kitungu - PS Transport
Enoch Momanyi Onyango - PS Physical Planning
 
Dah! Nimeona Kiunjuri katolewa nje nje....
Hiyo timu naona imekaa vizuri, nch inapiga hatua kali kali, sema kidogo Uhuru huniangusha kwenye regional balance (ni maoni yangu tu msinisulubu), hayupo sensitive kwenye haya mambo akijua jinsi huwa yanaibua hisia kali nchini.

Halafu kama kunao ambao humshauri rais na wawe wanapita huku, chonde chonde naomba kwenye ulimwengu wa teknolojia tuletewe Bitange Ndemo, jamaa alifaulu kufanya mageuzi makubwa sana kwenye tasnia hii. Mimi kama mwana taaluma nafahamu fika alichokifanya.
 
Hell yeah!. I miss bitange very much. The guy is an ICT mogul. One of the architect behind konza smart city!.
 
Dah! Nimeona Kiunjuri katolewa nje nje....
Hiyo timu naona imekaa vizuri, nch inapiga hatua kali kali, sema kidogo Uhuru huniangusha kwenye regional balance (ni maoni yangu tu msinisulubu), hayupo sensitive kwenye haya mambo akijua jinsi huwa yanaibua hisia kali nchini.

Halafu kama kunao ambao humshauri rais na wawe wanapita huku, chonde chonde naomba kwenye ulimwengu wa teknolojia tuletewe Bitange Ndemo, jamaa alifaulu kufanya mageuzi makubwa sana kwenye tasnia hii. Mimi kama mwana taaluma nafahamu fika alichokifanya.
Bitange ako sawa. He is a doer not a talker. We need more people like those in govt
 
Back
Top Bottom