HABARI NJEMA KWA WENYE cd audio, dvd, vcd, mp3, mp4 n.k: kwa kuanzia itakuwa Mwanza.

Sitachoka

JF-Expert Member
Nov 17, 2011
3,030
1,303
Ni habari njema kwa wenye vitu
tajwa hapo juu, kuwa kuanzia
mwezi May au June mwanzoni
nitakuwa nasafisha hivyo vitu
kama vilikuwa vina scratch
haviplay miziki vzr basi tiba yake
ya milele ina kuja toka Marekani
ni kifaa maalum nitakuwa
nakitumia toka huko Marekani
chenye uwezo mkubwa wa
kurejesha cd audio, dvd, vcd,
mp3, mp4 katika hali yake ya
mwanzo.
 
Back
Top Bottom