HABARI NJEMA kwa wenye CD AUDIO, DVD,Vcd, MP3, MP4 N.K: KWA KUANZIA ITAKUWA MWANZA. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

HABARI NJEMA kwa wenye CD AUDIO, DVD,Vcd, MP3, MP4 N.K: KWA KUANZIA ITAKUWA MWANZA.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mbaga Michael, Apr 29, 2012.

 1. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #1
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,913
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  Ni habari njema kwa wenye vitu tajwa hapo juu, kuwa kuanzia mwezi May au June mwanzoni nitakuwa nasafisha hivyo vitu kama vilikuwa vina scratch haviplay miziki vzr basi tiba yake ya milele ina kuja toka Marekani ni kifaa maalum nitakuwa nakitumia toka huko Marekani chenye uwezo mkubwa wa kurejesha cd audio, dvd, vcd, mp3, mp4 katika hali yake ya mwanzo.
   
 2. Kibirizi

  Kibirizi JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 602
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Aisee kama itakuwa kweli tutafurahi kwani habari ya cd ku scratch ni tatizo kubwa.
   
 3. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #3
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,913
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  Ndg sitanii muda wowote kifaa kinaingia.
   
 4. Bourgeoisie

  Bourgeoisie JF-Expert Member

  #4
  Apr 30, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 611
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Hakika biashara matangazo nawe hujawa nyuma katika kulitambua hilo.Big up!
   
 5. ARV

  ARV JF-Expert Member

  #5
  May 1, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 1,302
  Likes Received: 304
  Trophy Points: 180
  Ebwana hicho kifaa kikifika ututaarifu.tunasubiri kwa hamu. Nina DVD za documentary za maana sana kwangu, zinaplay zikikaribia mwisho zinaanza kuscratch na zina stack kabisa. Tunakusubiri.
   
Loading...