Habari njema kwa watotoleshaji wa vifaranga

Aman Ng'oma

JF-Expert Member
Nov 8, 2011
961
533
Je unatotolesha vifaranga wa chotara/Kienyeji na unakosa mayai ya kutosha kwa ajili ya mashine zako?
Kama ndivyo tatizo lako limekwisha. Tafadhali karibu tukuhudumie, tuna mayai mengi kutoka kwa wafugaji wetu waaminifu outgrowers ambao tunawasimamia katika ufugaji na kuwatafutia masoko tukishapata hilo soko tunasuply mayai hayo kwa wateja wetu wenye uhitaji huo. Mayai tunayoyakusanya ni yale yaliyotagwa ndani ya siku 7.

Ubora wa mayai ni wa hali ya juu. Kila mfugaji tumempa namba na namba hiyo tunaiandika katika kila yai aliloleta kwa marker pen ili kudhibiti udanganyi. Tuna uwezo wa kusupply tray 100 kwa wiki.
Tuko dodoma mjini. Kama ukihitaji kokote Tanzania tutakufikishia hadi makao makuu ya mkoa.

Tuna uwezo wa kussupply trays 150 za mayai yenye mbegu kwa wiki. Tray moje ni tsh tsh 18,000.

Kwa mawasiliano tafadhali piga namba 0767989713, 0715989713 na 0786989713

Karibuni sana mteja wetu.
 
Back
Top Bottom