Habari njema kwa wasanii woooote tanzania na east africa


Msamiati

Msamiati

R I P
Joined
Mar 6, 2011
Messages
1,075
Points
0
Msamiati

Msamiati

R I P
Joined Mar 6, 2011
1,075 0
Wasanii wenzangu tuliokuwa tukiahangaika kila kukicha kutafuta jinsi ya kuonesha uwezo tulio nao sasa ufumbuzi umepatikana, nimeona sio vibaya nikitupia hapa jamvini taarifa za soko kubwa la mtandaoni ambalo msanii unajisajiri bure na kupewa uniq identification namba kisha kama kweli unakipaji lazima utoke coz watu kibao wamekuwa wakilitizama soko hilo kwa jicho pevu.
Pia jamaa wamezindua Rank ambayo ina nafasi mia kwahiyo kama kweli unamauwezo unajisajili na kuanza kugombania kuingia kwenye hiyo rank ambayo itajumuisha watu kibao, upande wangu nilicho kigundua ni kuwa kadri unavyo sogelea nafasi za juu kwenye rank ndivyo unavyo pata nafasi kubwa zaidi ya kupata kazi
Nimetembelea mtandao wao leo baada ya kupewa taarifa na jamaa yangu mmoja hivi nimekuta vitu vingi vizuri coz hata kama una script unauza au story unaenda kuisajili kwenye soko lao then wadau watakaoipenda wakifika dau lako unavuta mkwanja Mimi nimekuwa mtu wa 3 kujisajili kama sanii nimepewa uanachama wa bure kwa miezi 15 na waesea utaratibu huo unaendelea paka kwa wanachama 300 wa awali Bila choyo link hii hapa

MARKET BASE TANZANIA
 

Forum statistics

Threads 1,285,566
Members 494,675
Posts 30,866,948
Top