Habari njema kwa wanaonyimwa unyumba

Pastor Achachanda

JF-Expert Member
May 4, 2012
3,023
1,315
025c7e21aaf044d4e6615129254ddc35.jpg
 
Ni ujinga uliotukuka.utaenda kushtaki kisha huyo mkeo akiitwa atawaambia polic huwa hudindi na hata ukidinda hauchukui hata dakika moja kwahiyo hataki kupakwa shombo.hata kama sio kweli polic wataamini na utajikuta umeanza kujifulia kupiga deki na kula kwa mama ntilie bila kupenda.
 
Hivi swala la kunyimwa unyumba lipo kwa mwanaume tu au hata mwanamke anaweza kunyimwa unyumba!!
 
Mtu hataki kukupa unyumba ana sababu, ukiona sababu zake hazina mashiko hitimisha tu kua tendo zima kwa mwenzako halina mshawasha kama mwanzo. Au hakupendi.
Pigania urudishe spark iliyopotea au tafuta kitu kipya ambacho nacho baada ya muda kitachoka same routine kila siku.
 
Ni ujinga uliotukuka.utaenda kushtaki kisha huyo mkeo akiitwa atawaambia polic huwa hudindi na hata ukidinda hauchukui hata dakika moja kwahiyo hataki kupakwa shombo.hata kama sio kweli polic wataamini na utajikuta umeanza kujifulia kupiga deki na kula kwa mama ntilie bila kupenda.
Hahaahhaha yaani nimecheka mpaka nimejiskia tumbo limeniuma
 
Back
Top Bottom