Habari njema kwa wanafunzi wapya (1st yr 2018/2019) kutoka mikoani kuja chuo kikuu cha ST JOHN

Ronzobe B29

JF-Expert Member
Jul 8, 2017
242
89
Natumaini wanajamvi mu- wazima wa afya mkiendelea na majukumu ya hapa na pale ,
Mungu wetu ashukuliwe na awe nanyi katika kila hatua mnayopitia.

Kutokana na stendi ya jijj la Dodoma kuhamishwa mjini ( Jamatini) ilipokuaga zamani na kupelekwa nje kidogo ya mji NANENANE. Hivyo basi uongozi wa selikali ya wanafunzi ST JOHN'S UNIVERSITY OF TANZANIA umeamua kuwasaidia wanafunzi wanaotarajiwa kuanza kuripoti kwa maana ya first year kutoka mikoani kuja jiji la Dodoma kuwasaidia. Ewe mzazi wa mwanafunzi au mwanafunzi uliyechaguliwa katika chuo hiki upitiapo uzi huu waambie na wenzako.

Hii hasa ni kwa wale watakao panda mabasi ya SHABIBY na KIMBINYIKO
Na kwa msaada zaidi nawakaribisha maswali.
IMG_20181027_195224_861.JPG
 
Pia tunaungaisha offer za voda 60gb kwa miezi 6
Hivyo wanafunzi wenzangu wenye uhitaji karbu
 
Back
Top Bottom