Habari njema kwa walionjiandikisha kupiga kura mlimani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Habari njema kwa walionjiandikisha kupiga kura mlimani

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by palalisote, Oct 26, 2010.

 1. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2010
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  WanaJf nimesoma moja ya thread watu wanalalamika kuwa majina yao hawajayaona pale nkrumah hall. Jamani wale waliojiandikisha pale nkrumah na ambao 2005 walipigia kura hapo kituo kimehamishiwa pale "SHULE YA MSINGI MLIMANI".jirani na UDASA, jamani nendeni majina yenu yapo hata langu nimeliona pale. Kituo kinaitwa "SHULE YA MSINGI MLIMANI C". hata ukibofya website ya nec inakwambia ni "SHULE YA MSINGI MLIMANI C". Kituo cha nkrumah kinaitwa UTAWALA kama mmesoma vizuri. Mpe taarifa hii na mwenzio haraka.
   
 2. Mo-TOWN

  Mo-TOWN JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2010
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,626
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 160
  Noted!
   
 3. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Thanks man
   
 4. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #4
  Oct 26, 2010
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 776
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  NEC wanasababisha usumbufu usio waazima kama wamemhamisha mtu toka utawala kwenda shule ya msingi ingekuwa vyema wakatoa taarifa kwenye kituo alichojiandikisha awali ili makifika hapo akute maelekezo ya wapi pengine atayakuta majina
   
Loading...