Habari njema kwa wakazi wa Dar es salaam

ween

JF-Expert Member
Jul 20, 2016
414
129
Natumani hamjambo,
Mmi ni dada umri chin ya miaka25 nipo dar , elimu yangu ni kidato cha nne baadae nilijunga chuo mwaka 2012 nikaliza chuo kwa ngazi ya diploma,

Iila tangu mwaka huo sijapata kazi, hivyo ninaomba mwenye kazi anipatie napatikana dar niko tayari kufanya kazi hata kama ni kazi yoyote ya chini kabisa isipokuwa house girl tu. Mawasiliano ni pm ntakupatia
Asanteni.
 
Nimefurahia heading yako...hahahaaa! Nikajua ile fursa niliyokuwa naisubiria mda mrefu sasa imekuja...kidogo nipige simu airport kwa ajili ya booking ya bombardier kuja Dar
 
Sasa habari njema kwa wakazi wa Dar kivipi au kuna huduma fulani unatoa amvayo hujaitaja hapa.Ni PM nikupe mchongo kama uko serious
Habar njema kwa anadtafta mfanyakaz hyo ndio maana yangu
Nimefurahia heading yako...hahahaaa! Nikajua ile fursa niliyokuwa naisubiria mda mrefu sasa imekuja...kidogo nipige simu airport kwa ajili ya booking ya bombardier kuja Dar
 
Natumani hamjambo,
Mmi ni dada umr chin ya miaka25 nipo dar , elimu yangu ni kidto cha nne baadae nilijunga chuo mwaka 2012 nikaliza chuo kwa ngaz ya diploma, ila tangu mwaka huo sijapata kazi, hivyo ninaomba mwenye kazi anipatie napatikana dar niko tayar kufanya kazi hta kama ni ngaz yoyote ya chini kabisa isipokuwa house girl tu. Mawasiliano ni pm ntakupatia
Asanteni.
Me natafuta house girl Kama ukipata wazo mbadala nitafute pm mshahara mzuri tu
 
mbona hata kuandika inaonekana ni tatizo ? mi ntakutafutia kazi ya sales ila utaenda kwenye interview ukishindwa ukishinda ni wewe andaa cv kisha nipigie 0657145555
 
Natumani hamjambo,
Mmi ni dada umri chin ya miaka25 nipo dar , elimu yangu ni kidato cha nne baadae nilijunga chuo mwaka 2012 nikaliza chuo kwa ngazi ya diploma,

Iila tangu mwaka huo sijapata kazi, hivyo ninaomba mwenye kazi anipatie napatikana dar niko tayari kufanya kazi hata kama ni kazi yoyote ya chini kabisa isipokuwa house girl tu. Mawasiliano ni pm ntakupatia
Asanteni.
Kazi ya chini kabisa ya mshahara wa sh.ngapi?
 
Back
Top Bottom