Habari njema kwa wafanyakazi wa Tanzania Port Authority. Tpa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Habari njema kwa wafanyakazi wa Tanzania Port Authority. Tpa

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Ibrahim K. Chiki, Apr 24, 2012.

 1. Ibrahim K. Chiki

  Ibrahim K. Chiki Verified User

  #1
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 594
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Kwa wale ndugu zetu waajiriwa wa TPA, International Commercial Bank tunarudi tena ili kuwawezesha wafanyakazi wenye permanent contract na kupata mkopo kati ya 5 to 10 mil. Vigezo ni rahisi na vinawezekana. Tafadhari ni wafanyakazi wa TPA Tuuuuu.
   
 2. y

  ymalago Member

  #2
  Apr 24, 2012
  Joined: Aug 26, 2009
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  riba ni asilimia ngapi???
   
 3. Ibrahim K. Chiki

  Ibrahim K. Chiki Verified User

  #3
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 594
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  naku pm.
   
 4. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #4
  Apr 24, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Minimum itakuwa 25% kwa muda wa mkopo it ends up to over 200%. Mtu anaekung'ang'anizia mkopo ujuwe ndio biashara yake na shida zako ndio faida yake.
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Mkopo wa mil 10? Hata Kigae cha ki-south hauezeki @lst ingekua 40mils hiv.
   
 6. Ibrahim K. Chiki

  Ibrahim K. Chiki Verified User

  #6
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 594
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  riba ni 24.
   
 7. Ibrahim K. Chiki

  Ibrahim K. Chiki Verified User

  #7
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 594
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  acha kuongea *****, mkopo mil 10 unaleng staff ambao basic salary zao ni btn 500hundred and 1 mil...uki calculate vizuri utajua ni kwanini.
   
 8. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #8
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Naomba tafadhali nipatie number yako ya simu ili tuwasiliane
  Au kama hutajali naomba unipigie simu kwa no. 0713 68 96 65. Mimi niko TPA Head office nataka details zaidi
   
 9. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #9
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  24, other service charges? ukitoa jibu, ongeza na hiyo 24 halafu useme ni % ngapi?
   
 10. Ibrahim K. Chiki

  Ibrahim K. Chiki Verified User

  #10
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 594
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  0652 59 05 19. Nakupigia hupokei.
   
Loading...