BekaNurdin
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 2,267
- 2,041
Ili kumwelewa vizuri Paskali kunahitajika utulivu.Upo serious kweli na hizi pongezi au unabariki wizi wa raslimali za Taifa

Makinikia tuliyoambiwa yana madini ya thamani kubwa sasa yanasafirishwa kama awali na bado watu wanashangilia
Sina akili kuliko wengine ila nina akili nyingi kukuzidi weweHuna hoja yoyote zaidi ya kejeli na kujiona wewe unaakili kuliko wengine.
Unaonekana kituko tu.
Wewe jamaa unachekesha kweli. 🤣 🤣 🤣 Ona sasa umejiweka kuwa akilimeter so unakipimo cha akili ulipo!?Sina akili kuliko wengine ila nina akili nyingi kukuzidi wewe
你是世界上最愚蠢的人
Jr
Huu ni uongo! Na makinikia ni usanii wenu tu ccm! Btw usd 40m mtazitumiaje mwaka huu wenye changamoto lukuki?Wanabodi,
Hatimaye Tanzania sasa tunaanza kufaidi rasilimali zetu za madini, ambapo leo, donge nono la dola za Marekani milioni 100, zimelipwa kwenye kile kibubu chetu pale kwenye ule mfuko Mkuu wa hazina ya serikali kama advance payment ya kile kishika Uchumba cha dola milioni 300, ambacho baadae tulikigeuza kuwa ndio mahari kamili ya yule binti yetu makinikia.
Kiasi kilichobaki cha dola milioni 200, kitalipwa kwa mikupuo mitano ya dola milioni 40 kila mkupuo ambacho kitalipwa ndani ya miaka 5, kwa kila mkupuo kulipwa ndani ya mwaka mmoja mmoja.
Habari njema hii ni kwa mujibu wa Barrick,
Karibu ujisomee
Barrick Partnership with Tanzanian Government Delivers First Major Outcomes
Japo deni letu la makinikia ya Barrick lilikuwa Dola bilioni 190 ambazo zingetosha kumnunulia Noah kila Mtanzania, tukaahidiwa kishika Uchumba cha dola milioni 300!, lakini kufuatia majadiliano marefu, tulisamehe deni lote, na kile kishika Uchumba cha dola milioni 300, tulikikubali kuwa sasa ndio mahari kamili, hivyo hili donge nono la dola milioni 100, ndio mwanzo wa utekelezaji wa makubaliano na Barrick.
Donge nono hili la dola milioni 100 ni nje ya gawio la hisa asilimia 16% za bure bure, ambayo Tanzania tumepewa kwenye kampuni mpya ya ubia wa Tanzania na Barrick, kampuni ya Twiga, na manufaa makubwa kabisa, manene na manono kabisa yanayosubiriwa kwa hamu, ni mgawo wa 50/50, yaani pasu kwa pasu ya manufaa ya Kiuchumi ya kila kinachopatikana kwenye madini yetu.
Huu ni ukombozi mkubwa sana kwa taifa letu. Hongera sana JPM.
Mungu Ibariki Tanzania
Paskali
Update.
Bunge letu ndio limetangaziwa rasmi fedha hizi mchana huu, sasa hivi, hivyo wewe as mwana jf, you were the first to know, na kwenye magazeti ni kesho!.
Viva if
Mungu Ibariki JF
Mungu Ibariki Tanzania
P
Update 2
P
Wacha weeee !!Wanabodi,

Daaah !!!Ripoti mbili za CAG zinaonyesha 2.7 trillions hazijulikani zilipo. Bunge DHAIFU limenyuti halafu mtu anashangilia kupata $300 millions. Aliyewaroga baadhi ya Watanzania uchawi wake si wa kawaida hata kidogo.
Wacha weeeLissu alisema tutapelekwa MIGA lakini Mh. Rais Magufuli kwanza amewafulumsha wezi Acacia pia sasa tunafanyakazi na Barrick na wameanza kutulipa pesa yetu bado faida ya madini yetu ya kila mwaka lazima pia tuzipate! Pesa zote zinawekwa hapahapa kwenye Benki zetu. Mungu atupe nini jamaniiii. Heko Rais wetu Magufuli.
HaleluyaNeema inakuja miradi mikubwa kuisha mapeeema
Hopeless comment ever! Vipi Baba yako Lissu alisema tutapelekwa MIGA!! Lini mnatupeleka huko MIGA wewe msaliti namba moja??
Weeeee !!!Mungu ni mwema,pongezi kwa serikali ya awamu ya tano,but I wish baada ya magufuli ,majaliwa atatufaa sana watanzania yuko makini kama jpm
Sent using Jamii Forums mobile app
Cheque ya malipo uliiona kwenda hazina au benki kuu?Wanabodi,
Hatimaye Tanzania sasa tunaanza kufaidi rasilimali zetu za madini, ambapo leo, donge nono la dola za Marekani milioni 100, zimelipwa kwenye kile kibubu chetu pale kwenye ule mfuko Mkuu wa hazina ya serikali kama advance payment ya kile kishika Uchumba cha dola milioni 300, ambacho baadae tulikigeuza kuwa ndio mahari kamili ya yule binti yetu makinikia.
Kiasi kilichobaki cha dola milioni 200, kitalipwa kwa mikupuo mitano ya dola milioni 40 kila mkupuo ambacho kitalipwa ndani ya miaka 5, kwa kila mkupuo kulipwa ndani ya mwaka mmoja mmoja.
Habari njema hii ni kwa mujibu wa Barrick,
Karibu ujisomee
Barrick Partnership with Tanzanian Government Delivers First Major Outcomes
Japo deni letu la makinikia ya Barrick lilikuwa Dola bilioni 190 ambazo zingetosha kumnunulia Noah kila Mtanzania, tukaahidiwa kishika Uchumba cha dola milioni 300!, lakini kufuatia majadiliano marefu, tulisamehe deni lote, na kile kishika Uchumba cha dola milioni 300, tulikikubali kuwa sasa ndio mahari kamili, hivyo hili donge nono la dola milioni 100, ndio mwanzo wa utekelezaji wa makubaliano na Barrick.
Donge nono hili la dola milioni 100 ni nje ya gawio la hisa asilimia 16% za bure bure, ambayo Tanzania tumepewa kwenye kampuni mpya ya ubia wa Tanzania na Barrick, kampuni ya Twiga, na manufaa makubwa kabisa, manene na manono kabisa yanayosubiriwa kwa hamu, ni mgawo wa 50/50, yaani pasu kwa pasu ya manufaa ya Kiuchumi ya kila kinachopatikana kwenye madini yetu.
Huu ni ukombozi mkubwa sana kwa taifa letu. Hongera sana JPM.
Mungu Ibariki Tanzania
Paskali
Update.
Bunge letu ndio limetangaziwa rasmi fedha hizi mchana huu, sasa hivi, hivyo wewe as mwana jf, you were the first to know, na kwenye magazeti ni kesho!.
Viva if
Mungu Ibariki JF
Mungu Ibariki Tanzania
P
Update 2
P
The Barrick Gold Company and the Government of Tanzania today Wednesday, February 20 held talks on the implementation of the agreement that the two parties entered into in 2017.Wanabodi,