Habari ndugu zanguni natafuta kazi....!

frank mayige

Member
Jan 5, 2013
60
10
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba msaada kwa yeyote mwenye channel, ya kufahamiana na watu tofauti katika Media ama TV station hapa Dar es salaam, Nina elimu ya Diploma ya IT, naweza kufanya kazi zifuatazo kwenye Television:
1. Transmission Operator - TX - Operator
2. scheduling - yaani upangaji wa vipindi pamoja na matangazo
3. IT technician
nimezunguka sana katika Television nyingi hapa Dar nimeona kujuana ndio kwingi sana, naomba kwa yeyote anaejuana na watu hao basi asisite kunisaidia japo nipate kuonana nao maana mbali napo pia naweza kuandaa vipindi mbalimbali, Ahsantei. napatika kwa 0675663282
 
Back
Top Bottom