Habari ndugu na jamaa wa jamii forums

Davidsdiason

Member
Jul 3, 2015
19
13
Habari ndugu na jamaa wa jamii forums mimi mwanachama mpya naomba kukalibishwa
Shughuli zangu ni fundi umeme wa majumbani na viwandani
Na tunafika popote kama hutatuhitaji hasa kanda ya ziwa kwa maana ya Bukoba, Mwanza,Geita, Shinyanga na Mara karibu sana pm kwa maswalaya yeyote kuhusiana na umeme .
 
Pw karibu sana mkuu

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom