pananjia Member Dec 22, 2011 9 0 Dec 8, 2017 #1 Habari , natafuta mahali wanapotengeneza meza iliyozungushiwa bati na kabati la kioo kama inavyoonekana kwenye picha Attachments images.jpeg 8.2 KB · Views: 73
Habari , natafuta mahali wanapotengeneza meza iliyozungushiwa bati na kabati la kioo kama inavyoonekana kwenye picha
pananjia Member Dec 22, 2011 9 0 Dec 8, 2017 Thread starter #6 shungurui said: Bati au aluminum Click to expand... Meza ya chini imezungushiwa materila kama ya bati , na kabati la kioo kama yale ya kwenye vibanda vya chipsi
shungurui said: Bati au aluminum Click to expand... Meza ya chini imezungushiwa materila kama ya bati , na kabati la kioo kama yale ya kwenye vibanda vya chipsi
M Mkwaruu JF-Expert Member Mar 13, 2017 2,929 1,706 Dec 8, 2017 #7 lnm said: Habari , natafuta mahali wanapotengeneza meza iliyozungushiwa bati na kabati la kioo kama inavyoonekana kwenye picha Click to expand... Uko Mkoa gani
lnm said: Habari , natafuta mahali wanapotengeneza meza iliyozungushiwa bati na kabati la kioo kama inavyoonekana kwenye picha Click to expand... Uko Mkoa gani
pananjia Member Dec 22, 2011 9 0 Dec 8, 2017 Thread starter #8 Mkwaruu said: Uko Mkoa gani Click to expand... Niko dar es salaam
M Mkwaruu JF-Expert Member Mar 13, 2017 2,929 1,706 Dec 8, 2017 #9 lnm said: Niko dar es salaam Click to expand... Kuna jamaa wako Maeneo ya kinondoni au hapa gerezani ni wapi karibu kwako
lnm said: Niko dar es salaam Click to expand... Kuna jamaa wako Maeneo ya kinondoni au hapa gerezani ni wapi karibu kwako
pananjia Member Dec 22, 2011 9 0 Dec 8, 2017 Thread starter #10 Kinondoni itakuwa karibu kwangu , ni maeneo yapi ya kinondoni hao jamaa wanapatikana ?