Habari naombwa kusaidiwa

KAMA una imani ya kidini sali sana kwa hilo tatizo la kooni pia unaweza kuwaona madaktari,pia hilo la vijipele nenda kawaone madaktari watakusaidia,pole sana.
 
katika upande wa koo, utakua una kiungulia ambacho kimekuwa kikubwa ambacho kimeleteleza mchubuko ambao unaumia ukimeza kitu,
katika upande wa kuwashwa jaribu kubadili sabuni unayotumia na mafuta pia sawa dorin
 
Maan nasikia kabisa kinapanda na kushuka alf kinakaa kwenye kifua

Sent using Jamii Forums mobile app

jaribu kutumia mziwa fresh chemsha kama nilivyosema usiweke sukari, kama utaweza ,kunywa asubuhi na jioni hakikisha maziwa unakunywa bila ya kitafunwa chochote... trust me tatizo hilo litakwisha.

AMA UNAWEZA PITIA NAKALA ILIYOCHAPISHWA HAPO CHINI KWA MAELEZO MENGINE YA KUKUWEKA KARIBU NA SOLUTION YA TATIZO LAKO!

Kiingulia ni acidity iliyozidi kufuatia kula kitu chenye acidity. Maharage yakilala yana ferment hivyo kutengeneza more acidity state hivyo ukiyala vimengenyo vya pelipeptaid, peptaid na pepton vyenye kazi ya kuyeyusha wanga vinatoa acid nyingi ukichanganya na ile ya maharage matokeo yake ni kiungulia.

Dawa ya kiungulia ni kunywa alcalinine yoyote au base ili kuineutralize ile acid na kutengeneza chumvi na maji hivyo kutokuwa na madhara tena.

Dawa ya kawaida sana ni vidonge vya magnesium tricilicate au actal. Majivu yakichanganyika na maji yanatengeneza alcaline solution ambayo pia inaneutralize ile acid. Tatizo la majivu hakuna kipimo sahihi ukizidisha, hata ile acid ya kawaida ya kusaga chakula inakuwa neutralized hivyo chakula kinashuka kilivyo.

Usipotafuta suluhisho la kudumu kuicontrol hiyo acid tumboni kwako, inaweza kumungunya mpaka ngozi laini ta tumboni hivyo kusababisha vidonda vya tumbo vinaitwa ulcers.

DAWA YA KUTIBU KIUNGULIA KWA TIBA MBADALA:

KIUNGULIA::

TIBA;:

Changanya glasi moja (250ml) ya maziwa na kijiko kikubwa 10ml) cha mafuta ya habat soda.Kunywa mchanganyiko huu na urudie kutwa mara tatu (1×3) kwa muda wa siku 5. tumia kisha uje unipe feedback chanzo.USICHOKIJUWA KUHUSU MARADHI YA KIUNGULIA

Nigella_sativa_oil.jpg
 
Mungu akubariki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na je tatizo la kuwashwa mwili mzima na kutoka na vipele kama vya joto lakini sio vya joto hapo tiba yake ni nini?

Kama hutojali nitumie pic PM ya ngozi iliyoathirika ili nione laweza kuwa tatizo gani.

Kama koo linavidonda au unapata shida wakati wa kumeza unaweza kuwa na Tonsillitis. Nielezee kama unapata shida wakati wa kumeza kitu, kama una maumivu kooni au kama unapata homa then tuone tunashauri nini.

Kama ni kiungulia, u need antacid tu!
Pole, utapona!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najikuna sana mpk natokea vipele vidogo na mpk najiparua ngozi

Sasa hapo dada tatizo lako laweza kuwa ni any dermatitis, allergy, hives, minyoo au hata fungal infections. Sometimes hata cream/mafuta unatumia ambayo yanaweza kuleta skin rashes.

Kama hutojali andika ni nini walipima na kukuta una shida ipi ili tuone dawa utakayotumia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom