Habari naombwa kusaidiwa

katika upande wa koo, utakua una kiungulia ambacho kimekuwa kikubwa ambacho kimeleteleza mchubuko ambao unaumia ukimeza kitu,
katika upande wa kuwashwa jaribu kubadili sabuni unayotumia na mafuta pia sawa dorin
atakuwa na alej huyu ya ngozi
 
jaribu kutumia mziwa fresh chemsha kama nilivyosema usiweke sukari, kama utaweza ,kunywa asubuhi na jioni hakikisha maziwa unakunywa bila ya kitafunwa chochote... trust me tatizo hilo litakwisha.

AMA UNAWEZA PITIA NAKALA ILIYOCHAPISHWA HAPO CHINI KWA MAELEZO MENGINE YA KUKUWEKA KARIBU NA SOLUTION YA TATIZO LAKO!

Kiingulia ni acidity iliyozidi kufuatia kula kitu chenye acidity. Maharage yakilala yana ferment hivyo kutengeneza more acidity state hivyo ukiyala vimengenyo vya pelipeptaid, peptaid na pepton vyenye kazi ya kuyeyusha wanga vinatoa acid nyingi ukichanganya na ile ya maharage matokeo yake ni kiungulia.

Dawa ya kiungulia ni kunywa alcalinine yoyote au base ili kuineutralize ile acid na kutengeneza chumvi na maji hivyo kutokuwa na madhara tena.

Dawa ya kawaida sana ni vidonge vya magnesium tricilicate au actal. Majivu yakichanganyika na maji yanatengeneza alcaline solution ambayo pia inaneutralize ile acid. Tatizo la majivu hakuna kipimo sahihi ukizidisha, hata ile acid ya kawaida ya kusaga chakula inakuwa neutralized hivyo chakula kinashuka kilivyo.

Usipotafuta suluhisho la kudumu kuicontrol hiyo acid tumboni kwako, inaweza kumungunya mpaka ngozi laini ta tumboni hivyo kusababisha vidonda vya tumbo vinaitwa ulcers.

DAWA YA KUTIBU KIUNGULIA KWA TIBA MBADALA:

KIUNGULIA::

TIBA;:

Changanya glasi moja (250ml) ya maziwa na kijiko kikubwa 10ml) cha mafuta ya habat soda.Kunywa mchanganyiko huu na urudie kutwa mara tatu (1×3) kwa muda wa siku 5. tumia kisha uje unipe feedback chanzo.USICHOKIJUWA KUHUSU MARADHI YA KIUNGULIA

Nigella_sativa_oil.jpg
Wala haliumi kabisa ni kitu tu kinakereketa tu kinapanda na kushuka nikimeza mate
oky jarbu ushauri uliopewa
 
Na kuna watu wanasema cjui homa hapo inahusiana na nn kwenye koo?

no kama umefanya vipimo na wakakwambia hakuna kitu ... jaribu kwenda pengne kwa watumishi haswa wa kiroho pengine kuna jambo ktk ulimwengu wa kiroho.. japo kama msomi hutakiwi kufikia hatua ya kuamini vitu iv..
 
Kwanza nina tatizo lankuwashwa mwili mzima na natoka vipele vidogovidog hasa pale ninapotoka kuoga je tiba ni ipi na lingine kuhusu koo yaan nikimeza chakula nasikia kitu kinapanda na kushuka je nini shida naombeni msaada

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitoka juani na kwenda kivulini ghafla unawashwa pia?
 
Nilikua na tatizo kama hilo kuwashwa mwili baada ya kutoka kuoga
Nikaenda kupata tiba nikapewa dawa za kumeza zinaitwa Loratadine kesho yake nilisahau kama naumwa!
 
Kama hujanielewa basi itakua huwa haikutokei ...

Nilimaanisha hivi;
Ukiwa unatembea njiani(juani) halafu ukaenda kivulini, mwili unakuwasha pia?
Ndio au muda mwengine nilishavua nguo,na nikitoka kuoga
 
Hiyo yote ni kitu kimoja kinachosababisha uchafu/sumu/chemical mwilini. Na sio hivyo tu bali kujamba kwingi, kubeua, kupata joto bila sababu, kupenda vitu vya sukari nk ndo dalili hizo.
Safisha mwili then kula madini, pona kabisa
Mwili unasafishwaje? Ahaha...hiyo ni Technolojia ya wapi? Inapatikana wapi?
 
Ndio au muda mwengine nilishavua nguo,na nikitoka kuoga
Asante nitafanyia kazi
Natumaini hiyo Loratadine itafanya kazi.

Niliwahi kwenda sehemu tulikua kikundi na wengi walipata hilo tatizo.Ilikua ni kama wewe wakishaoga mwili unawasha au wakihama juani kwenda kivulini au kivulini kwenda juani.Kuna bwana bado nna mawasiliano yake nitamwuliza alitumia dawa gani.Nikipata jibu nitakuwekea hapa pia.
 
Natumaini hiyo Loratadine itafanya kazi.

Niliwahi kwenda sehemu tulikua kikundi na wengi walipata hilo tatizo.Ilikua ni kama wewe wakishaoga mwili unawasha au wakihama juani kwenda kivulini au kivulini kwenda juani.Kuna bwana bado nna mawasiliano yake nitamwuliza alitumia dawa gani.Nikipata jibu nitakuwekea hapa pia.
Au muda mwengine kabla ya kuoga
 
Ishu ni simple tu

Tumia taulo laini sana kujisugulia mwilini au kama haiwezekani tumia mikono tu..

Then tumia taulo mwilini kwa njia kama ya kumbembeleza..yaani taratibu wakati unajifuta
 
Ishu ni simple tu

Tumia taulo laini sana kujisugulia mwilini au kama haiwezekani tumia mikono tu..

Then tumia taulo mwilini kwa njia kama ya kumbembeleza..yaani taratibu wakati unajifuta
Nitafanya hivyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom