Habari: Naomba msaada, nina Project Proposal ila sina sehemu ya Kuiwasilisha

Pina Proposal huwa inakuwa na kila kitu hadi jinsi ya kuanza na unaanza anzaje project. So napata shida kwamba una Proposal ila umeshindwa kuanza na kama sikosei hata pesa unadai unazo.

Je Proposal imekaaje hadi haina kipengele cha kuanza Project.
proposal ni maandish ya kushawish.... ili ianze kufanya kazi lazma uwe na hela.... ni nini hujaelewa
 
Nilikuwa nasehemu ya kupeleka proposal nimekwambia nicheki tuiwasilishe umevunga nishapata format naandaa mwenyewe niiwasilishe.
 
Habari mwana au wana JF, baada ya masomo yangu shahada ya kwanza ya mawasiliano ya umma na uandishi wa habari nimeweza kutoka na utaalam fulani wa kuandika proposals mbalimbali.

Hapa karibuni nimeandika proposal itakayoweza kunisaidia kuanzisha jarida la wanawake. Jarida lenye mambo mengi siwezi elezea yote lakini dhumuni kubwa ni kuandika taarifa za wanawake mbalimbali ambao ni wawajibikaji.

Hii itasaidia kuamsha wanawake wengine ambao wamekatazwa.hawaoni njia au wanaona hawastahili kufanya shughuli zozote za uzalishaji. Wanafunzi, wanawake kwenye taasisi na waliojiajiri pia.

Project yangu imeisha (kimaandishi) mpaka ''budget'' ipo vizuri lakini sina sehem ya kuiwasilisha kwakua idea ya kufanya kitu ninayo ila uwezo wa kuanzisha na kusimamia peke yangu siwezi.

Uwezo wangu ni kurecord na kukusanya datakudesign jarida na kupangilia masuala yotekiufupi utekelezaji kwangu sio shida. Shida ni gharama .

Ahsante naomba msaada wako
Ingia kwenye mtandao utafute DONOR - NGO ya USA iitwayo MAMACASH. Wana fund sana masuala ya akina mama, hebu watafute wanaweza kukusaidia.
 
Ingia kwenye mtandao utafute DONOR - NGO ya USA iitwayo MAMACASH. Wana fund sana masuala ya akina mama, hebu watafute wanaweza kukusaidia.
nimefanikisha kutuma japo sio muda wao wa kupokea maombi.... nakushkuru sana
 

Attachments

  • Capture.JPG
    Capture.JPG
    43.6 KB · Views: 6
Back
Top Bottom