Habari nahitaji kuagiza vitenge Zambia utaratibu kwa anayefahamu naomba msaada wake

Mwl mbunda

New Member
Jul 18, 2021
2
1
Mimi nahitaji kufanya biashara kutoa vitu zambia kuleta tanzania (vitu kama vitenge).

kwa anayefahamu utaratibu naomba msaada nijue cha kufanya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom