Habari na Picha Nape, Mwigulu ziarani Sumbawanga

NASHUKURU SANA KWA COMENTS ZENU, naomba nifafanue mambo machache
Lakwanza..TUMEKAGUA UJENZI WA BARABARA kwani ni sehemu ya ahadi zilizokwenye Ilani ya CCM ya uchaguzi kwahilo mambo si mabaya pamoja na kwamba tumeitaka serikali kuhakikisha speed inaongezeka na kuhakikisha ubora.
La pili tumezungumzia hali ya maisha.
.. Chama kimeiagiza serikali bajeti ijayo kuhakikisha ina angalia maeneo ambayo yakibadilishwa yatapunguza bei ya vitu nchini hivyo kupunguza ugumu wa maisha.
Tumekagua ufungaji wa majenereta manne yenye uwezo wa kuzalisha 1.25Meg kila moja kwa ajili ya Sumbawanga, Namanyele na viunga vyake.
Tumezungumzia uhusiano uliopo kati ya BAJETI,MIUNDOMBINU kama BARABARA na UPATIKANAJI wa nishati kama UMEME na MAJI na maisha ya watu ya kawaida.

Nape tunakushukuru kwa kufanya kazi kubwa ambayo unaifanya pamoja na kwamba pengine siyo majikumu yako kama kiongozi wa Chama. Swali moja kwako: hawa watoto wazazi wao wako wapi?
 

Attachments

  • Nape na Wanafunzi.doc
    292 KB · Views: 23
Jamani na hii picha ya wale wanafunzi hamkuiona?
attachment.php

Watoto ndiyo Taifa la kesho, watoto hawa hawa ndiyo wapinzani wa Chademe wa kesho, so hamna ubaya kuwapo kwao pale. Chapa kazi Nape, Mwigulu, songa mbele!
 
Mleta mada umeshaleta upuuzi na umenikera! Unasema nape ndo amehutubia mpaka vijana wakajipiga vifua mithili ya watu walioingiwa na Roho Mtakatifu wakati wa mahubiri. Ni upuuzi mnaweka tena,sitaki kashfa zenu. Alaf kwa nini kila kinachohusisha ccm mnahusisha mambo matakatifu,ni lini mtaacha kukashifu? Sipendi. Siasa tumia maneno ya kisiasa. Alafu hamuoni aibu kwa ccm kuwa na sera ya kujivua gamba kwa ku refer nyoka,wakati nyoka kitaalam hajawai kuwa na gamba bali ngozi. Ngozi ya zamani hutoka na ya ndani ukoma ikiwa na tabia zile zile isipokuwa umri,je ccm imepata mafisadi wapya isipokuwa umri?? Nape nipe jibu hapa. Napendekeza ccm waseme wamejivua gamba kama la kobe au konokono. Na ktk hali yoyote iyo wakijivua gamba kobe lazima afe,je kifo cha ccm ndo kimewadia??nina maswali mengi zaidi ya majibu!!
 
Nape aliwakuna wanasumbawanga pale alipotoa mfano wa busara za mfalme Suleiman pale alipoletewa wa mama wawili waliogombea mtoto. Mfalme akasema basi tumpasue mtoto katikati mgawane. Yule ambaye mtoto si wa kwake akasema mara moja sawa kwa sababu alikuwa hana uchungu naye, lakini yule mwenye mtoto akasema mwache tusimpasue ila mtoto huyu apewe mwenzangu. Alimfananisha huyo mama asiye na huruma na CHADEMA wanaotaka nchi isitawalike kwa sababu hawana uchungu

Hata bila chadema kusema ni dhahiri kwamba tayari nchi hii haitawaliki tena, mmesahau kuwa jk aliamuru ujenzi usimamishwe kwenye eneo la wazi katika noja ya ziara zake hapa dar, lakini kesho yake tuaona kwenye tv wachina wakiwa juu ya makatapila yao wakiendelea na ujenzi (business as usual) sasa kuna utawala hapo, juzi tu kamati ya bunge ya hesabu za mashirika imeibua ufisadi wa mpiga picha kulipwa shs 200 million, kuna utawala hapo?

Akili zako ni sawa na za hao waliorudisha kadi (kama kweli walirudisha).
 
Atajua wapi masikini wa watu huyo?

Akiambiwa tu hapa tutatumia Stones Mastic Asphalt (SMA), anabaki tu kutikisa kichwa kujifanya kaelewa. Na mijitu ya namna hii ndiyo inayosababishwa tujengewe barabara mbovu maana sidhani hata anafahamu umuhimu wa Underbasement Layer na umuhimu wa kuwa Well Compacted........

CCM ilishinda na ndiyo ikatengeneza Serikali. Huko kuna Mawaziri wahusika kama kwa sasa Magufuli na Mwakyembe ambao ndiyo kazi yao waende kusimamia. TANROADS ndiyo wajenzi ambapo Waziri Mhusika akiwa na timu ya Wahandisi, ndiyo wanaotakiwa kwenda kukagua na kila wenye tatizo, wanamueleza kwa undani.

SASA hayo Mashati mawili ya kijani hapo, si KUUZA TU SURA?

Kama ningelikuwa mie ndiyo Mhandisi wa sehemu husika, ningelikutoa baru kwenye site kwa kutupotezea tu muda mtu usiyehusika.

Nape tunaomba utuombe radhi Watanzania kwa kutuona woote kuwa hatukwenda shule.

Mmekagua barabara kama nani! Je nyie ni Ma-engineers! Unajua hata Compaction test ni nini! Unajua PI ya udongo unaotumika katika ujenzi wa barabara inatakiwa kuwa katika range ipi! Unajua Cambre inatakiwa iwe % ngapi!

Usilete Usanii kwenye taaluma za watu. Waachie Ma-engineer wafanye kazi hiyo, wewe kawadanganye CCM wenzio tu kwamba hukuwa Mwasisi wa CCJ maana wao ni Mazanka ndio wanaokuelewa bila kufikiria.
 
Mwisho wa siku tafakuri lazima ibaki kuwa,
Uwiano wa anachokipigia kelele na miaka 50 ya utawala wa CCM na umasikini mkuu wa nchi.
Je, hata kama atawarudisha watz wote CCM, hiyo itamfaa nini?
Ina maana tatizo kuu la CCM ili kutekeleza ilani zake (toka uhuru) ni CHADEMA?
Da hizi siasa nyepesi sana
 
CCM Inatia kichefu chefu, mi siitaki hata kuisikia.... kwanini hawajibu hoja za CDM, hapa wamekwisha kabisaaa... walikuwa wanamtegemea pinda sasa kumbe pinda ndio mmbovu bora Lowasa i guess, sasa wamemchagua NAPE wakizani ataleta mabadiliko kumbe hamna kitu, NAPE kajipange upya
 
Mojawapo ya kazi za chama cha upinzani ni kuonyesha wananchi makosa ambayo yanafanywa na chama tawala. Hivyo basi Chadema hawajakosea kuonyesha mapungufu ya Ccm. Alichotakiwa kufanya ni kueleza ni jinsi gani ccm itaweza kukabiliana na mapungufu hayo ambayo yameonyeshwa na chama cha upinzani.

BTW, mbona hukutuwekea picha zote?

Kuna tofauti kubwa kati ya kuonyesha wananchi mapungufu ya chama tawala na kuahidi kwamba nchi haitatawalika! Hata mimi ya marmshi yalinifanya niwe very uncomfortable. CHADEMA inayo fursa ya kuonyesha uongozi mbadala bila ya kufanya vurugu, kuchochea chuki kati ya wananchi...hi ni nafasi ya kuelimisha watanzania kupitia vitendo (Visible Leadership)
, tusiishie kwenye 'rhetoric' iliyotufikisha hapa tulipo!
 
Child labour ihakuna mpiga kura hapo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kwa kweli inabidi uwe na moyo mgumu au gamba gumu kukubali kubwabwaja mbele ya watoto kama hawa huku jasho linakutoka na povu mdomoni eti uko kazini.
Mie hapo! ahh ningesha lala mbele. Bora lawama kuliko fedheha kama hiyo.
 
ccm inaona mbli sana, kwa vijana wa sekondary na chuo hawawezi danganyika na siasa za ccm, hivyo wanaamua kuwekeza kwa watoto wa primary na chekechea angaloa mwaka 2035 warudi tena madarakani

Hivi hawa watoto hawasomi? hawakwenda shule au ilikuwa week end?
 
Hizi kadi za CHADEMA mbona mpyampya? Kwa udongo wa Sombawanga kadi safi hivi? Mhh

4.JPG
Picha hii imaetoka front page gazeti la uhuru nimeitafuta sana lakini nashukuru kuipata hapa maana hata kwenye website yao hawajaiweka. Kisha nikaenda gazeti la mwananchi picha niliyoiona niliangua kicheko sana, yaani kila moja limetoa picha yenye taarifa tofauti kabisa kwa mtazamaji.
 
Atajua wapi masikini wa watu huyo?

Akiambiwa tu hapa tutatumia Stones Mastic Asphalt (SMA), anabaki tu kutikisa kichwa kujifanya kaelewa. Na mijitu ya namna hii ndiyo inayosababishwa tujengewe barabara mbovu maana sidhani hata anafahamu umuhimu wa Underbasement Layer na umuhimu wa kuwa Well Compacted........

CCM ilishinda na ndiyo ikatengeneza Serikali. Huko kuna Mawaziri wahusika kama kwa sasa Magufuli na Mwakyembe ambao ndiyo kazi yao waende kusimamia. TANROADS ndiyo wajenzi ambapo Waziri Mhusika akiwa na timu ya Wahandisi, ndiyo wanaotakiwa kwenda kukagua na kila wenye tatizo, wanamueleza kwa undani.

SASA hayo Mashati mawili ya kijani hapo, si KUUZA TU SURA?

Kama ningelikuwa mie ndiyo Mhandisi wa sehemu husika, ningelikutoa baru kwenye site kwa kutupotezea tu muda mtu usiyehusika.

naamini huyu bwan sio makini katika matumizi ya lugha.
hapo anapodai "walikagua" naamini angesema "walitembelea"
aidha wakati bado sooo la "kutojiunga chadema kwa sababu sio mchanga" halijaisha
tayari amejiingiza kiana kwenye soo la "mapadri na itikadi ya fuateni maneno yango na sio matendo".

huyu bwana hafamu kwamba kwa ngazi yake lazima maneno yake ayapime kabla
hayamtoka kinywani.

 
Back
Top Bottom