Habari na Picha Nape, Mwigulu ziarani Sumbawanga

Nape jana kaiua sana Chadema! Kuna ulazima wa Chadema kurudi kusini tena! Kaipiga sana na kuwambia Chadema ni genge la wahuni ndio maana hawajari hata Nchi isipo tawalika! Amesema huyo alie kataa mshahara mkubwa Bungeni leo amelazimisha au pate kwenye chama masikini! Anasema dr slaa ni padre na ana fuata kanuni ya msifuate matendo yangu ila fuateni maneno yangu!

Kumbe huku ndiko kuiua CDM!
attachment.php
 
Nape jana kaiua sana Chadema! Kuna ulazima wa Chadema kurudi kusini tena! Kaipiga sana na kuwambia Chadema ni genge la wahuni ndio maana hawajari hata Nchi isipo tawalika! Amesema huyo alie kataa mshahara mkubwa Bungeni leo amelazimisha au pate kwenye chama masikini! Anasema dr slaa ni padre na ana fuata kanuni ya msifuate matendo yangu ila fuateni maneno yangu!

Kama kweli amesema hayo basi awe makini kwani hayo ayache yasemwe na wapiga debe tu. Ajue anaongea na watu wazima na wenye akili zao kwa hiyo asipeleke hadithi za sungura na fisi, au kobe,simba na sungura. Zitaexpire ndani ya muda mfupi sana. Swala ni kusimamia watendaji ili kazi ionekana. Kwishaaaaaa
 
hivi hawa wnakagua ujenzi wa barabara kama nani? hivi hili lichama linajua utaratibu kweli?
 
Hivi eeti wanachama wachadema wakirudisha kadi!?
Inamaana Cdm si chama cha msimu tena?
kwa sasa chadema na ccm ndo vyama vilivyopo?
Mimi sipendi ccm wanafika sehemu na kusema tumevuna wanachama wa cdm 50,
inamaana vyama vingine hawajarudisha kadi?
 
Wanachadema wala msitishwe na kurejeshwa kwa kadi hizo.Kadi zilininunuliwa jana asubuhi na iliofika saa 6 uongozi wa CHADEMA mkoa ukashituka namna kadi zilivyonunuliwa kwa wingi kuliko siku zote na kugundua juu ya kupelekwa katika mkutano husika.Hivyo kadi zote hizo zilinunuliwa jana na watu waliotumiwa na CCM-magamba.

Idadi hiyo ya watu mbona ndogo sana ni sawa na 1/8 ya mkutano wa CHADEMA uliopita.Mimi nikiwa katika mji huu,mkutano ulikuwa umepooza hauna lolote na waliojaza ni watoto wadogo na wacheza ngoma wazee.Watu wote maarufu na wazarendo wenye mapenzi mema na nchi hii walihudhuria mazishi ya dereva wa NMB Sumbawanga ambao walikuwa wengi zaidi ya mara kumi ya mkutano wa CCM. Nape bado ana kazi kubwa sana!!!!!!!!. aliyeleta picha na maandishi hayo ni mwandishi uchwara

:mod:
 
Kimbunga cha mkutano
huo, kiliwazoa wananchi
51 waliokuwa
wanachama wa CHADEMA
ambao kutokana na
furaha yao, waliamua
kukabidhi kadi zao kwa
Nape na kutangaza
kujiunga na CCM.

Kweli hali imekuwa ngumu, watu 50 mnatamba!! CDM Mzumbe walichukua zaidi ya 1000. Long way to go.
 
Hizi watakuwa wameprint - si original, atupe Serial numbers to validate!!

Hivi NAPE hana updates kwamba magamba 3 yamekataa kuvulika? namshauri arudi dar makau makuu fasta kabla mambo hayajaharibika kabisa - Teh teh teh

Pia akumbuke naye ni gamba sababu yumo kwenye tuhuma mpya za uasisi wa CCJ - kazi bado pevu.

Mkuu umenena, Nape ni Gamba la ccm kwa sababu mipango iko mbioni kuwatimua waanzilishi wa ccj, sijui ataangukia wapi. Madhani his future politically is embracing an end now. Where will he get a platform to spread his lies + propaganda. Shame on him, a coward puuu!
 
Hahaha CHADEMA ni noma, wanafanya mbinu kama za Shitambala, akiwa mwenyekiti alikuwa na kadi mpya nyingi na wakazitumia hizo kuandika majina feki na wakazirudisha wakidai ni wanachama. mmefulia ndio maana ni watoto pekee wanaoweza kuwasikilizeni. je kuna mkutano wowote inaofanana na ile ya CHADEMA? umeingia choo cha kike, tangu lini mtu wa fedha na uchumi akasimama majukwaani?
Jamani na hii picha ya wale wanafunzi hamkuiona?
attachment.php
 
Najisikia furaha sana kwa kazi kubwa ya CHADEMA, idadi ya watu waliokuwa wakihudhuria mikutano ya wapinzani zamani sasa imegeukia CCM! tehetehetehe hihihi hahahah

BEI YA CEMENT HIVI SASA NI 16000
 


Duh Nape noma kweli anajifanya anajua kufuatilia ujenzi wa barabara kuliko Dr Magufuli.
 
Nape jana kaiua sana Chadema! Kuna ulazima wa Chadema kurudi kusini tena! Kaipiga sana na kuwambia Chadema ni genge la wahuni ndio maana hawajari hata Nchi isipo tawalika! Amesema huyo alie kataa mshahara mkubwa Bungeni leo amelazimisha au pate kwenye chama masikini! Anasema dr slaa ni padre na ana fuata kanuni ya msifuate matendo yangu ila fuateni maneno yangu!

haya sasa matusi ina maana mapadre wanaongozwa na kanuni hii, ni wapi imeandikwa katika vitabu vya uongozi wa dini ya Roman? hivi Nape ni lini ataanza kutumia busara kabla ya kutamka utumbo wake?


 
Kitu kinachonishangaza ni Mikutano ya CCM lazima kupambwa jukwaa, polisi wengi, wanatembelea miradi ya serikali.

Nadhani kuna upungufu hapa CHAMA na SERIKALI ni tofauti kabisa; huo Mradi wa barabara sio kwa wana CCM tu na pesa hazikutoka CCM
 
Jamani na hii picha ya wale wanafunzi hamkuiona?
attachment.php

ccm inaona mbli sana, kwa vijana wa sekondary na chuo hawawezi danganyika na siasa za ccm, hivyo wanaamua kuwekeza kwa watoto wa primary na chekechea angaloa mwaka 2035 warudi tena madarakani
 
Hizo kadi zilichapishwa na CCM na kugawiwa hawa watu kwa siri ili ionyeshe kwamba wanazirudisha, ni usanii mtupu tuliouzoea kuonyeshwa na CCM. Hii ni danganya toto.
 
Hizo kadi ziliandaliwa tu na chache tu ziligawiwa kwa kwatu kuonyesha kwamba wanazirudisha. Hakuna kilichotokea ila usanii. Mbona haelezi utekelezaji wa ilani ya CCM ila kumshambulia mtu ndio siasa zake?
 
Inashangaza sana kuwa fanya watanzania wote ni wajinga kwa kweli naomba niwaambie watanzania wenzangu si kila siku jumapili au siku zina fanana, la.

Nape na wenzako Tanzania ya leo sio ile ya miaka 45 iliyopita jamani Hapa nikiangalia najiuliza maswali mia kidogo

**hivi hawa watoto ndio maelfu ya watanzania waliorudisha kadi maana naona watoto tu labda macho yangu?
**wanaorudi CCM ni kutoka CHADEMA tu au mnataka kutuaminisha kuwa mnavuna kutoka chadema tu ndio wasio jua?
**tafuteni mada nyingine nyie sio kihivyo jamani hatuwaamini hasilani MAGAMBA NYIEEEEEEEEEEEE
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom