Habari na Picha: Mama Maria Nyerere ampokea Rais Kikwete akitokea Marekani kwenye matibabu

MwanaDiwani

JF-Expert Member
Mar 22, 2013
5,535
1,195
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia mkono wafanyakazi katikaUwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar essalaam baada ya kuwasili akitokea Marekani kwenye matibabu
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikumbatiana na Mke wa baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere aliyefika uwanja wa ndege kumpokea Rais Kikwete aliyetoka ughaibuni kwa matibabu ya tezi dume.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mama Maria Nyerere

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiongea na Mama Maria Nyerere aliyefika kuwapokea katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Marekani kwenye matibabu

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkuu wa Majeshi, Jenerali davis Mwammunyange mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkuu wa Jeshi laPolisi IGP Ernest Mangu
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Kamishna Jenerali waMagereza John Minja
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa ,Idara ya Usalama Bw. Rashid Othman
4

Dua ilisomwa na viongozi mbalimbali wa dini baada ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete kumaliza kuongea na wanahabari mara tu alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Marekani kwenye matibabu

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia mkono wafanyakaziwa ikulu waliojitokeza kumpokea mara baada ya kuwasili ikulu akitokea nchini Marekani kwenye matibabu


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia wafanyakaziwa ikulu waliojitokeza kumpokea mara baada ya kuwasili ikulu akitokea nchini Marekani kwenye matibabu

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea mashada ya maua kutoka kwa wafanyakazi wa Ikulu waliojitokeza kumpokea

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea kadi ya pole toka kwa mjukuu wake, aziza Ridhiwani Kikwete mara baada ya kuwasili Ikulu 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom