ChescoMatunda
JF-Expert Member
- Jan 7, 2009
- 1,232
- 442
Ndugu wadau wa elimu na maisha bora kwenye jamii yetu tarehe 30/12/2013 kulikuwa na taarifa toka mkoa wa Mara kuwa wazabuni wa huduma katika taasisi za serikali mkoani humo wanagoma kuendelea kutoa huduma.
Sababu ni madeni yaliopita uvumilivu toka taasisi za serikali yanazidi tshilingi bilioni mbili (2,000,000,000/-).
Taasisi zinazohofiwa kuathirika ni pamoja na shule za sekondari pamoja magereza, ndugu Yeriko nyerere unayetembelea magereza kwasasa chukua hii changamoto jumlisha unazoziona humo gerezani... maoni yangu; hivi hizi taasisi si hupangiwa na hupewa pesa toka ndani ya bajeti ya serikali kuu! Sása haya madeni yanatokana na kipi ongezeko la bajeti au fungu linafisadiwa?)
sorce; Radio one stereo Tanzania.

Last edited by a moderator: