Habari muhimu mkoa Mara inataka kupotezewa

ChescoMatunda

JF-Expert Member
Jan 7, 2009
1,186
1,500
Ndugu wadau wa elimu na maisha bora kwenye jamii yetu tarehe 30/12/2013 kulikuwa na taarifa toka mkoa wa Mara kuwa wazabuni wa huduma katika taasisi za serikali mkoani humo wanagoma kuendelea kutoa huduma.
Sababu ni madeni yaliopita uvumilivu toka taasisi za serikali yanazidi tshilingi bilioni mbili (2,000,000,000/-).
Taasisi zinazohofiwa kuathirika ni pamoja na shule za sekondari pamoja magereza, ndugu Yeriko nyerere unayetembelea magereza kwasasa chukua hii changamoto jumlisha unazoziona humo gerezani... maoni yangu; hivi hizi taasisi si hupangiwa na hupewa pesa toka ndani ya bajeti ya serikali kuu! Sása haya madeni yanatokana na kipi ongezeko la bajeti au fungu linafisadiwa?)
sorce; Radio one stereo Tanzania.
 
Last edited by a moderator:

ChescoMatunda

JF-Expert Member
Jan 7, 2009
1,186
1,500
Watu watakuja kulalanika halimbaya mashuleni vitabu hata vyakula na huduma mhimu zikiadimika magerezani wakati sasa hali hii inajitokeza wako kimya tuu
 
Lai Otieno

JF-Expert Member
Aug 13, 2013
311
0
Ndugu wadau wa elimu na maisha bora kwenye jamii yetu tarehe 30/12/2013 kulikuwa na taarifa toka mkoa wa Mara kuwa wazabuni wa huduma katika taasisi za serikali mkoani humo wanagoma kuendelea kutoa huduma.
Sababu ni madeni yaliopita uvumilivu toka taasisi za serikali yanazidi tshilingi bilioni mbili (2,000,000,000/-).
Taasisi zinazohofiwa kuathirika ni pamoja na shule za sekondari pamoja magereza, ndugu Yeriko nyerere unayetembelea magereza kwasasa chukua hii changamoto jumlisha unazoziona humo gerezani... maoni yangu; hivi hizi taasisi si hupangiwa na hupewa pesa toka ndani ya bajeti ya serikali kuu! Sása haya madeni yanatokana na kipi ongezeko la bajeti au fungu linafisadiwa?)
sorce; Radio one stereo Tanzania.

sio Yeriko ni Mhe Vincent J Nyerere Mbunge wa Musoma Mjini.
 
Last edited by a moderator:

rodrick alexander

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
8,235
2,000
haya matatizo hayako mkoa wa mara peke yake ni Tanzania nzima wakati wabunge wakijilipa posho kubwa huku wengine wakichukua posho bila kusafiri wazabuni wa serikali wanasota kudai madeni yao na sasa hivi ukitaka kufilisika fanya kazi na taasisi za serikali
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom