Habari mpya kwa wananchi wa jimbo la Ukonga

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,903
Halmashauri ya Manispaa ya Ilala chini ya Uongozi imara wa UKAWA imefanya Budget Reallocatin kwa kuweka Elimu Msingi kuwa Kipaumbele. Katika kupunguza na kumaliza kabisa Matatizo katika sekta ya Elimu manispaa ya Ilala imeamua kujenga Shule Mpya, Kuongeza Madarasa, Kuongeza Matundu ya Vyoo Kama inavyoonekana hapo chini.

A: SHULE MPYA ZA JIMBO LA UKONGA

1. Shule ya Msingi Kichangani Kata ya Majohe: Madarasa 2
2. Shule ya Msingi Misitu Kata ya Kivule: Madarasa 2
3. Shule ya Msingi Bombambili Kata ya Kivule: Madarasa 2
4. Shule ya Msingi Magole Kata ya Mzinga: Madarasa 2
5. Shule ya Msingi Vikongoro Kata ya Chanika: Madarasa 2
6. Shule ya Msingi Kiyombo Kata ya Kitunda; Madarasa 2
7. Shule ya Msingi Bombani Kata ya Pugu: Madarasa 2
8. Shule ya Msingi Mgeule Kata ya Buyuni: Madarasa 2

B: SHULE AMBAZO ZITAONGEZWA MADARA

1. Shule ya Msingi Mbondole Kata ya Msongola: Madarasa 2
2. Shule ya Msingi Mji Mpya Kata ya Buyuni: Madarasa 5

C: MATUNDU YA VYOO VITAKAVYOJENGWA

1. Shule ya Msingi G/Mboto Jeshini Kata ya Gongolamboto: Matundu 10
2. Shule ya Msingi Serengeti Kata ya Kivule: Matundu 10
3. Shule ya Msingi Msongola Kata ya Msongola: Matundu 10
4. Shule ya Msingi Viwege Kata ya Majohe: Matundu 10
5. Shule ya Msingi Mji Mpya Kata ya Majohe: Matundu 10
6. Shule ya Msingi Mbondole Kata ya Msongola: Matundu 10
7. Shule ya Msingi Kichangani Kata ya Majohe: Matundu 10
8. Shule ya Msingi Misitu Kata ya Kivule: Matundu 10
9. Shule ya Msingi Magole Kata ya Mzinga: Matundu 10
10. Shule ya Msingi Vikongoro Kata ya Chanika: Matundu 10
11. Shule ya Msingi Kiyombo Kata ya Kitunda: Matunda 10
12. Shule ya Msingi Kidugalo Kata ya Chanika: Matundu 10
13. Shule ya Msingi Zingiziwa Kata ya Zingiziwa: Matundu 10
14. Shule ya Msingi Ushindi Kata ya GMboto: Matundu 10
 
Hivi shule ya msingi mpya inaanzishwa na madarasa mawili?Au walikuwa na maana wanaongeza vyumba vya madarasa. Vigezo vya shule ya msingi mpya nafikiri vinahusisha na ujenzi wa ofisi za walimu,vyumba vya madarasa, vyoo na idadi ya wanafunzi.
 
Baada ya miaka 50 mefanya nini ufisadi?
 
Hivi shule ya msingi mpya inaanzishwa na madarasa mawili?Au walikuwa na maana wanaongeza vyumba vya madarasa. Vigezo vya shule ya msingi mpya nafikiri vinahusisha na ujenzi wa ofisi za walimu,vyumba vya madarasa, vyoo na idadi ya wanafunzi.
Mkuu soma taratibu, shule haiwezi anzishwa na madarasa 14, wanaanza shule mpya lazima itaanza na darasa la kwanza so vyumba 2 vinatosha, hawawezi kuweka darasa bila ofisi za walimu lazima zitajengwa kulingana na uhitaji, choo kitajengwa kwa kuwa ni shule mpya, huko amabako wameongeza idadi ya vyoo ni kwa kuwa vilivyopo havitoshelezi, unategenea akaongeze choo shule ya zamani, ajenge mpya aache kuweka choo? Jamani tusifie kazi zinazo fanywa hata kama si makonda katoa wazo.
 
Halmashauri ya Manispaa ya Ilala chini ya Uongozi imara wa UKAWA imefanya Budget Reallocatin kwa kuweka Elimu Msingi kuwa Kipaumbele. Katika kupunguza na kumaliza kabisa Matatizo katika sekta ya Elimu manispaa ya Ilala imeamua kujenga Shule Mpya, Kuongeza Madarasa, Kuongeza Matundu ya Vyoo Kama inavyoonekana hapo chini.

A: SHULE MPYA ZA JIMBO LA UKONGA

1. Shule ya Msingi Kichangani Kata ya Majohe: Madarasa 2
2. Shule ya Msingi Misitu Kata ya Kivule: Madarasa 2
3. Shule ya Msingi Bombambili Kata ya Kivule: Madarasa 2
4. Shule ya Msingi Magole Kata ya Mzinga: Madarasa 2
5. Shule ya Msingi Vikongoro Kata ya Chanika: Madarasa 2
6. Shule ya Msingi Kiyombo Kata ya Kitunda; Madarasa 2
7. Shule ya Msingi Bombani Kata ya Pugu: Madarasa 2
8. Shule ya Msingi Mgeule Kata ya Buyuni: Madarasa 2

B: SHULE AMBAZO ZITAONGEZWA MADARA

1. Shule ya Msingi Mbondole Kata ya Msongola: Madarasa 2
2. Shule ya Msingi Mji Mpya Kata ya Buyuni: Madarasa 5

C: MATUNDU YA VYOO VITAKAVYOJENGWA

1. Shule ya Msingi G/Mboto Jeshini Kata ya Gongolamboto: Matundu 10
2. Shule ya Msingi Serengeti Kata ya Kivule: Matundu 10
3. Shule ya Msingi Msongola Kata ya Msongola: Matundu 10
4. Shule ya Msingi Viwege Kata ya Majohe: Matundu 10
5. Shule ya Msingi Mji Mpya Kata ya Majohe: Matundu 10
6. Shule ya Msingi Mbondole Kata ya Msongola: Matundu 10
7. Shule ya Msingi Kichangani Kata ya Majohe: Matundu 10
8. Shule ya Msingi Misitu Kata ya Kivule: Matundu 10
9. Shule ya Msingi Magole Kata ya Mzinga: Matundu 10
10. Shule ya Msingi Vikongoro Kata ya Chanika: Matundu 10
11. Shule ya Msingi Kiyombo Kata ya Kitunda: Matunda 10
12. Shule ya Msingi Kidugalo Kata ya Chanika: Matundu 10
13. Shule ya Msingi Zingiziwa Kata ya Zingiziwa: Matundu 10
14. Shule ya Msingi Ushindi Kata ya GMboto: Matundu 10
Angalau sasa Ilala Ukawa wanaleta neema...sio zile hadithi za Chuki dhidi maendeleo.Hongera Meya...Huku Kinondoni tumekula hasara..hatuna meya wala wabunge
 
Mnakondeshwa na aliyekonda makondra.
 
Upinzani ni mzuri jamani, Arusha hakuna mwanafunzi anae kaa chini, hakuna shule ina uhaba wa matundu ya choo, hakuna shule haina maji safi ya bomba, shule zina pata huduma safi walimu wa baadhi ya shule za msingi wanapata chai bure bila mchango na watoto uji free, eg. levolosi primary, hongera diwani wa levolosi NANYARO.
 
Hii ndio chadema tuitakayo
 
Hivi shule ya msingi mpya inaanzishwa na madarasa mawili?Au walikuwa na maana wanaongeza vyumba vya madarasa. Vigezo vya shule ya msingi mpya nafikiri vinahusisha na ujenzi wa ofisi za walimu,vyumba vya madarasa, vyoo na idadi ya wanafunzi.
 
Angalau sasa Ilala Ukawa wanaleta neema...sio zile hadithi za Chuki dhidi maendeleo.Hongera Meya...Huku Kinondoni tumekula hasara..hatuna meya wala wabunge
Utakuwa mfuasi wa makonda, acheni chuki fanyeni kazi, mwambie asikurupuke, aache sifa, aache ujivuni naona sasa mpaka anaingilia kazi za mahakama kujipangia hakimu amtakae, na sio hakimu alie pangwa na mahakama. Ache siasa afanye kazi.
 
Jaribu kusoma uliyoandika tena...unapenda siasa za choo...!
 
kaa kimya mwambie na makonda anyamaze, au kaulizeni tume ya uchaguzi kwa nini kinondoni hakuna mbunge? ukiwa kibaraka fanya kwa siri usiaibishe familia yako.
 
Back
Top Bottom