Habari moto moto. Serikali yatangaza wamiliki wa dowans

Lokissa

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
7,446
2,490
Wana JF nimesoma ktk website ya IPP media kuwa serikali imewatangaza wamiliki wa Dowans na namna watakavolipwa ila mtandao wenyewe umetoa tu heading.naomba kwa mlio TZ mtujuze ni nani hao wamiliki nimetafuta website zote sijaona bado na redio pekee ya Kitanzania inayopatikana ktk net ni radio maria tu ambao leo mchana hawajajiunga na TBC kwa taarifa ya habari. Nipenu update tafadhali.
 
Umbea tu.... so what? mimi naona sasa imekuwa sio maslahi ya taifa bali udaku tu!!!
 
Kwavile kuna ishu ya kulipwa hela sasa wanajigonga kutafuta wa kuzipokea eeh?...Naomba wachunguzi wetu mahiri akina Saeed Kubenea fuatilieni hawa watu wanaolipwa wanatokea hasa wapi, na wanamtumikia nani!
 
Umbea tu.... so what? mimi naona sasa imekuwa sio maslahi ya taifa bali udaku tu!!!

kasheshe unasema ni udaku kivip? yaani suala la kitaifa na litakalotugharimu kodi zetu we unasema ni udaku? hebu acha utani kuwa serious na hii ishu.
 
Wanajisumbua tu, Dr. ataliibua tu muda si mrefu. Kuna mwenye akili katika serikali hii? Mimi naona wote wana akili za kushikiwa tu, siku anayewashikia hizo akili zao akichoka, watasalimu amri wenyewe!
 
Back
Top Bottom