Habari, mimi ni mgeni nafurahi kujiunga rasmi huku naomba mnipokee.

karibu mgeni ila kabla hujaingia hakikisha unavua soksi pamoja na viatu 'tunajua soksi zako zimetoboka kwenye visigino' usije ukatia aibu
 
Nimetumia jf kwa miaka sita sasa ila nilikua nikisoma habari za watu na kujifunza vitu vipya zaidi imenikuza kiakili. Leo nimejiunga rasmi nafurahi kuwa huku.
Umetokea wapi? Mjumbe wako anataarifa?
 
Back
Top Bottom