Threesixteen Himself
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 8,223
- 7,993
Ina Ubaya Gani Hiyo Habari?
Tabia pekee ambayo CCM hawana ni kupenda haki na ukweli.CCM hawana tabia hiyo
Yaani unaendelea kudhihirisha jinsi ulivyo sukule.Nyinyi wenye akili mnawabunge wangapi?
mbona mmeshindwa kutumia akili zenu kupata wabunge?
Head of state ndio ana 'siri nzito' na inayomtesa...!Lisu anasiri nzito sana juu ya shambulizi lake. Siasa yahitaji subira. Hakuna ajuae lkn
Ndoto za mchana hiziHead of state ndio ana 'siri nzito' na inayomtesa...!
Who care !? Ndio ukweli huo.Ndoto za mchana hizi
Endelea kuamini huo ukweliWho care !? Ndio ukweli huo.
Mkuu wasikupitezee muda wapuuzi hao. Shida ni kuwa ni majitu mauaji na hayana akili. Shwain kabisaMbona swali hili la kijinga linarudiwa kuulizwa? Wangekufa wote uchunguzi usingefikiriwa hata kufanywa? Au intelijensia ya ziro na mroto/mambosasa ni ju ya wapinzani tu? Shenzi kabisa!
Sukule ni lile lisilokuwa na ushawishi
Sasa majitu yasiyokuwa na akili yanakuzidije maarifa?Mkuu wasikupitezee muda wapuuzi hao. Shida ni kuwa ni majitu mauaji na hayana akili. Shwain kabisa
Tanawatahadharisha tuu.. Mbuyu ulianza Kama mchicha.Mmeanza kuogopa!
Halafu hamkawii kulia mkianza kungolewa kucha
Na majeshi ya kukodi ya Burundi yaliyovalishwa sare za polisi wa tz wameuwa watu ni ajaliAjali aichagui wewe ni chama gani.
Mbowe alivunjika mguu kwasababu ya kuzidisha Konyagi.
Zito aliteuka mkono kwa ajali ya gari.
Kwahiyo upande wa pili ndo wameona njia mbadala ya kujifariji ni kuanza kuchoma nyumba za Watanzania wenzao!.
Karma ya Dr. Silaha itaendelea kuwatafuna