Habari Mbaya: Mkurugenzi wa Meatu achomewa nyumba yake, yote yateketea

Mbona swali hili la kijinga linarudiwa kuulizwa? Wangekufa wote uchunguzi usingefikiriwa hata kufanywa? Au intelijensia ya ziro na mroto/mambosasa ni ju ya wapinzani tu? Shenzi kabisa!
Mkuu wasikupitezee muda wapuuzi hao. Shida ni kuwa ni majitu mauaji na hayana akili. Shwain kabisa
 
Ajali aichagui wewe ni chama gani.
Mbowe alivunjika mguu kwasababu ya kuzidisha Konyagi.
Zito aliteuka mkono kwa ajali ya gari.
Na majeshi ya kukodi ya Burundi yaliyovalishwa sare za polisi wa tz wameuwa watu ni ajali
 
Uhuni huo haukubaliki hata kidogo! Watanzania hatujazoea hayo, wasakwe na hatua zichukuliwe dhidi yao
 
25 Reactions
Reply
Back
Top Bottom