Elections 2010 Habari Leo: Mikoa 7 Kukosa Umeme

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
Huwa sisomi gazeti la HabariLeo, kwa sababu limegeuka kuwa la udaku.

Je, huu ni mgao au?

Ni mikoa gani hiyo?
 
Huwa sisomi gazeti la HabariLeo, kwa sababu limegeuka kuwa la udaku.

Je, huu ni mgao au?

Ni mikoa gani hiyo?


TANESCO; japo shirika masikini kwa kujitakia tu ila safari hii huenda hata bajeti yao ndogo hiyo ILIAZIMWA kwa ajili ya uchaguzi.

Kuzimazima huku kwa umeme ndio huwa ni DILI kubwa kwa wafanyabiashara wanaochangia MIKAMPENI kupata MISAMAHA holela kuagiza na kuuza kwa bei za juu MIJENERETA. Hii ni ARTIFICIAL SCARCITY na Waziri wetu wa sasa nampongeza sana kwa jinsi anavyochukuaga hatua ZA DHARURA kutuokoa na giza nene.

Vyombo vya habari navyo hujiambulia vijisenti kwa kuandika MATOKE badala ya VISABABISHI wa hali hiyo. Mpaka sasa, naweza hata kutabiri vichwa vya habari wiki mbili zijazo .... Leo MTERA kesho RUVU, kesho kutwa MTAMBO WA KUFULIA UMEME mara GESI imeganda kabisa na fundi kutoka ulaya ndani ya siku 7 kwa malipo ya USD 1m/- kwa saa hadi mtambo utengemae, haa haa haaa, dili hizo watu kurejesha gharama zao !!!!!!!!!
 
Sio leo ni Jumpili Mwanza, Arusha, Singida is one of them, wanadai eti kuna vitu wanarekebisha singida
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom