Habari katika picha

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,268
33,040
<table border="0" width="99%"><tbody><tr><td class="mainStoryBlack" align="left" valign="top">HABARI KATIKA PICHA</td> </tr> <tr> <td class="ColorWhite" align="left" valign="top">
</td> </tr> <tr> <td class="whiteheader" align="left" valign="top"> <table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"> <tbody><tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="Colorbullet"> <table align="center" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="10%"> <tbody><tr> <td class="kaziBold">
</td> </tr> <tr> <td>
05_10_8xwpnx.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="kaziBody" bgcolor="#e9a655">Licha ya Tanesco kuondoa umeme katika nguzo hii lakini nyanya zake zilizolalia katika nyaya za nguzo nyingine ni hatari kwa usalama wa wapita njia katika eneo la Manzese Midizini Dar es Salaam kama ilivyoonekana jana. (Picha na Mroki Mroki).
Imetayarishwa na:
Imewekwa tarehe: 8th May 2010 @ 20:08​
</td> </tr> </tbody></table> </td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="Colorbullet"> <table align="center" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="10%"> <tbody><tr> <td class="kaziBold">
</td> </tr> <tr> <td>
05_10_qrfg3e.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="kaziBody" bgcolor="#e9a655">Tazizo la maji ya uhakika katika jiji la Dar es Salaam limekuwa sugu jambo ambalo linasababisha magorofa mengi jijini kujaa matanki ya juu ambayo wakati mwingine yanauzito mkubwa na kuwa hatari kwa watumiaji wa majengo hayo. (Picha na Mroki Mroki).
Imetayarishwa na: Mroki Mroki
Imewekwa tarehe: 8th May 2010 @ 16:47​
</td> </tr> </tbody></table> </td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="Colorbullet"> <table align="center" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="10%"> <tbody><tr> <td class="kaziBold">
</td> </tr> <tr> <td>
05_10_0rhnzx.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="kaziBody" bgcolor="#e9a655">Mkazi wa Dar es Salaam mwenye ulemavu akivushwa katika toroli katika mto Msimbazi eneo la Vingunguti jana kufuatia mvua kuvunja daraja la muda la Vingunguti hivi karibuni. (Picha na Mroki Mroki).
Imetayarishwa na: Mroki Mroki
Imewekwa tarehe: 7th May 2010 @ 09:35​
</td> </tr> </tbody></table> </td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="Colorbullet"> <table align="center" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="10%"> <tbody><tr> <td class="kaziBold">
</td> </tr> <tr> <td>
05_10_15hbuz.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="kaziBody" bgcolor="#e9a655">Licha ya kutolewa kwa taarifa ya kutokuwepo kwa usumbufu wa msongamano wa magari wa mara kwa mara kipindi hiki ambapo Mkutano wa Kimataifa wa Uchumi kwa Bara la Afrika (WEF) unaendelea jijini Dar es Salaam, bado maeneo mbalimbali yamekuwa yakitawaliwa na msongamano huo na kuwa tatizo kwa wananchi kama inavyoonekana pichani katika barabara ya Morogoro katikati ya jiji magari yakiwa yamesongamana, jana. (Picha na Fadhili Akida).
Imetayarishwa na:
Imewekwa tarehe: 5th May 2010 @ 19:19​
</td> </tr> </tbody></table> </td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="Colorbullet"> <table align="center" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="10%"> <tbody><tr> <td class="kaziBold">
</td> </tr> <tr> <td>
05_10_wgay4z.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="kaziBody" bgcolor="#e9a655">Watoto wakicheza katika dimbwi la maji machafu yaliyotuama kwa muda mrefu eneo la Gongo la Mboto jijini Dar es Salaam bila ya wazazi au walezi kuwakataza kuwa wanaweza kupata magonjwa ya ngozi. (Picha na Mroki Mroki).
Imetayarishwa na:
Imewekwa tarehe: 4th May 2010 @ 19:00​
</td> </tr> </tbody></table> </td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="Colorbullet"> <table align="center" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="10%"> <tbody><tr> <td class="kaziBold">
</td> </tr> <tr> <td>
05_10_5ktkes.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="kaziBody" bgcolor="#e9a655">Sehemu ya waombolezaji akiwamo baba wa marehemu,Thadei Kianda, mwenye nguo nyeusi mbele ya jeneza la mtoto wake Noela Thadei(5) katika mazishi ya watoto watatu waliouwawa na mama yao mzazi, Benedicta Thadei(44) mkoani Kilimanjaro.
Imetayarishwa na:
Imewekwa tarehe: 3rd May 2010 @ 23:59​
</td> </tr> </tbody></table> </td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="Colorbullet"> <table align="center" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="10%"> <tbody><tr> <td class="kaziBold">
</td> </tr> <tr> <td>
05_10_gc1zef.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="kaziBody" bgcolor="#e9a655">Kutokana na wajasiriamali wengi hapa nchini kukosa mbinu na maarifa ya kutafuta masoko ya nje ya bidhaa zao, wengi wao wamekuwa wakiuza bidhaa hizo kiholela kama inavyoonekana pichani wajasiriamali hawa katika mji mdogo wa Chalinze wakitafuta wanunuzi kwenye mabasi mwishoni mwa wiki. (Picha na Fadhili Akida).
Imetayarishwa na: Fadhili Akida
Imewekwa tarehe: 3rd May 2010 @ 19:55​
</td> </tr> </tbody></table> </td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="Colorbullet"> <table align="center" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="10%"> <tbody><tr> <td class="kaziBold">
</td> </tr> <tr> <td>
04_10_gmjgnw.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="kaziBody" bgcolor="#e9a655">Watoto wa jamii ya wafugaji katika Kijiji cha Mkomilo, Kibosho, Moshi vijijini mkoani Kilimanjaro wakitafuta majani ya kulishia mifugo yao kama walivyokutwa hivi karibuni. (Picha na Fadhili Akida).
Imetayarishwa na: Fadhili Akida
Imewekwa tarehe: 30th April 2010 @ 19:45​
</td> </tr> </tbody></table> </td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="Colorbullet"> <table align="center" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="10%"> <tbody><tr> <td class="kaziBold">
</td> </tr> <tr> <td>
04_10_738utb.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="kaziBody" bgcolor="#e9a655">Gari dogo lenye namba za usajili T 779 ASH likiwa limegonga kwa nyuma daladala lenye namba T 916 ABN katika barabara ya Azikiwe Dar es Salaam wakati gari hilo dogo likitokea mtaa wa Garden jana mchana. (Picha na Mroki Mroki).
Imetayarishwa na: Mroki Mroki
Imewekwa tarehe: 30th April 2010 @ 15:46​
</td> </tr> </tbody></table> </td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="Colorbullet"> <table align="center" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="10%"> <tbody><tr> <td class="kaziBold">
</td> </tr> <tr> <td>
04_10_4m2crv.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="kaziBody" bgcolor="#e9a655">Magari yakipita katika dimbwi la maji lililopo katika barabara ya Nyerere karibu na Kiwanda cha Uchapaji cha Taifa (KIUTA) Dar es Salaam kufuatia mvua iliyonyesha jana. (Picha na Mroki Mroki).
Imetayarishwa na:
Imewekwa tarehe: 28th April 2010 @ 18:34​
</td> </tr> </tbody></table> </td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="Colorbullet"> <table align="center" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="10%"> <tbody><tr> <td class="kaziBold">
</td> </tr> <tr> <td>
04_10_a58bzs.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="kaziBody" bgcolor="#e9a655">Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakizungumza na mtoto Issa Juma katika misheni ya Kintinku iliyopo wilaya ya Manyoni katika siku ya kwanza ya ziara yake mkoani Singida jana. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Singida Vincent Ole Kone.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Imetayarishwa na:
Imewekwa tarehe: 27th April 2010 @ 19:54​
</td> </tr> </tbody></table> </td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="Colorbullet"> <table align="center" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="10%"> <tbody><tr> <td class="kaziBold">
</td> </tr> <tr> <td>
04_10_vuavh1.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="kaziBody" bgcolor="#e9a655">Vijana wa kabila la wataturu kutoka Mkoani Shinyanga wakicheza ngoma ya kabila lao wakati wa maadhimisho ya miaka 46 ya Muungano yaliyofanyika uwanja wa Uhuru Dar es Salaam jana. (Picha na Mroki Mroki).
Imetayarishwa na: Mroki Mroki
Imewekwa tarehe: 26th April 2010 @ 23:59​
</td> </tr> </tbody></table> </td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="Colorbullet"> <table align="center" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="10%"> <tbody><tr> <td class="kaziBold">
</td> </tr> <tr> <td>
04_10_fz24qu.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="kaziBody" bgcolor="#e9a655">Vijana wa mji wa Morogoro wakisaidiana kusukuma gogo la mwembe ulioanguka karibu na Kituo Kikuu cha Polisi mjini humo hivi karibuni na kusababisha usumbufu kwa magari yaingiayo Uwanja wa Jamhuri na kituoni hapo. (Picha na John Nditi).
Imetayarishwa na:
Imewekwa tarehe: 25th April 2010 @ 20:51​
</td> </tr> </tbody></table> </td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="Colorbullet"> <table align="center" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="10%"> <tbody><tr> <td class="kaziBold">
</td> </tr> <tr> <td>
04_10_4ku0b5.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="kaziBody" bgcolor="#e9a655">Baadhi ya wanafunzi wa shule za Msingi na Sekondari jijini Dar es Salaam wakishiriki katika maandamano ya kuadhimisha wiki ya elimu kwa wote Dunaini ambayo inafikia kilele chake leo. (Picha na Mroki Mroki).
Imetayarishwa na:
Imewekwa tarehe: 24th April 2010 @ 20:37​
</td> </tr> </tbody></table> </td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="Colorbullet"> <table align="center" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="10%"> <tbody><tr> <td class="kaziBold">
</td> </tr> <tr> <td>
04_10_36j9gh.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="kaziBody" bgcolor="#e9a655">Wasichana wa Jamii ya Wataturu wa Kijiji cha Mwangikulu, wilaya ya Meatu mkoani Shinyanga wakishangaa simu ya mkononi. Wataturu ni moja ya jamii zinazoishi maisha ya asili porini.(Picha na Ikunda Erick)
Imetayarishwa na:
Imewekwa tarehe: 23rd April 2010 @ 18:53​
</td> </tr> </tbody></table> </td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="Colorbullet"> <table align="center" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="10%"> <tbody><tr> <td class="kaziBold">
</td> </tr> <tr> <td>
04_10_4kxghp.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="kaziBody" bgcolor="#e9a655">Mtoto Emmanuel Madede (9) (katikati) na wadogo zake Philipo Madede(3) na Japhet Madede(5) wakila chakula cha mchana katika kijiji cha Bomani,Meatu Shinyanga. Watoto hawa wanahitaji msaada baada ya wazazi wao kuwatelekeza na hivi sasa wanaishi na mama mkubwa ambaye hana kipato.(Picha na Ikunda Erick)
Imetayarishwa na:
Imewekwa tarehe: 23rd April 2010 @ 09:43​
</td> </tr> </tbody></table> </td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="Colorbullet"> <table align="center" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="10%"> <tbody><tr> <td class="kaziBold">
</td> </tr> <tr> <td>
04_10_bhj65h.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="kaziBody" bgcolor="#e9a655">Magari yakiwa yamekwama katika barabara ya Bahari Motors Kijitonyama jijini Dar es Salaam jana kufuatia mashimo makubwa yaliyopo katika barabara hiyo. (Picha na Mroki Mroki).
Imetayarishwa na:
Imewekwa tarehe: 22nd April 2010 @ 09:45​
</td> </tr> </tbody></table> </td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="Colorbullet"> <table align="center" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="10%"> <tbody><tr> <td class="kaziBold">
</td> </tr> <tr> <td>
04_10_7nymry.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="kaziBody" bgcolor="#e9a655">Abiria wa daladala lenye namba za usajili T 591 AMH linalofanya safari kati ya Ubungo na Kivukoni kupitia barabara ya Mandela wakiwa katika Ofisi za gazeti hili mtaa wa Samora Dar es salaam wakidai gari lilikamatwa toka asubuhi na askari wa usalama barabarani na kwenda kuwatelekeza katika Ofisi za kampuni ya mnada ya Majembe Mikocheni. (Picha na Yusuf Badi).
Imetayarishwa na:
Imewekwa tarehe: 22nd April 2010 @ 09:37​
</td> </tr> </tbody></table> </td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="Colorbullet"> <table align="center" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="10%"> <tbody><tr> <td class="kaziBold">
</td> </tr> <tr> <td>
04_10_uua4rg.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="kaziBody" bgcolor="#e9a655">Daladala zinazofanya safari kati ya Mabibo na Kariakoo jijini Dar es Salaam zikipakia abiria katika eneo lililozungukwa na madimbwi ya maji karibu na kituo cha mafuta cha Big Bon Kariakoo jana . (Picha na Mroki Mroki Mroki).
Imetayarishwa na: Mroki Mroki
Imewekwa tarehe: 21st April 2010 @ 19:25​
</td> </tr> </tbody></table> </td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="Colorbullet"> <table align="center" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="10%"> <tbody><tr> <td class="kaziBold">
</td> </tr> <tr> <td>
04_10_c580gq.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="kaziBody" bgcolor="#e9a655">Mkazi wa Manispaa ya Morogoro akiwa amempakia mtoto wake katika kitenga cha baiskeli yake wakati akiwa kwenye shughuli za kawaida katika moja ya mtaani wa Mjini hapa , kama alivyokutwa hivi karibuni. (Picha na John Nditi).
Imetayarishwa na: John Nditi
Imewekwa tarehe: 20th April 2010 @ 18:41​
</td> </tr> </tbody></table> </td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="Colorbullet"> <table align="center" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="10%"> <tbody><tr> <td class="kaziBold">
</td> </tr> <tr> <td>
04_10_m8r6eg.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="kaziBody" bgcolor="#e9a655">Wanafunzi wa Shule ya Msingi Msasani Dar es Salaam wakirejea nyumbani kwao eneo la Bonde la Mpunga baada ya masomo huku mmoja akiwa ameshikilia viatu mkononi visiharibiwe na maji na mwingine akiwa kifua wazi jambo ambalo ni hatari kwa afya zao. (Picha na Mroki Mroki).
Imetayarishwa na: Mroki Mroki
Imewekwa tarehe: 20th April 2010 @ 09:08​
</td> </tr> </tbody></table> </td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="Colorbullet"> <table align="center" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="10%"> <tbody><tr> <td class="kaziBold">
</td> </tr> <tr> <td>
04_10_v4yq85.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="kaziBody" bgcolor="#e9a655">Abiria waliokuwa wakisafiri kwa basi dogo aina ya Toyota Hiace kutoka wilaya ya Maswa kwenda Bariadi mkoani Shinyanga wakilazimika kushuka baada ya gari hilo kuzima katikati ya mfereji wa maji nje kidogo ya mji wa Maswa hivi karibuni. (Picha na Mpigapicha wetu).
Imetayarishwa na: Mpigapicha wetu
Imewekwa tarehe: 19th April 2010 @ 08:56​
</td> </tr> </tbody></table> </td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="Colorbullet"> <table align="center" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="10%"> <tbody><tr> <td class="kaziBold">
</td> </tr> <tr> <td>
04_10_h1hgxh.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="kaziBody" bgcolor="#e9a655">mtoto Amina Hamad akiwa ameshika chandarua
Imetayarishwa na:
Imewekwa tarehe: 18th April 2010 @ 16:49​
</td> </tr> </tbody></table> </td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="Colorbullet"> <table align="center" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="10%"> <tbody><tr> <td class="kaziBold">
</td> </tr> <tr> <td>
04_10_2ysh4g.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="kaziBody" bgcolor="#e9a655">Baadhi ya wakazi wa Kijiji cha Mambegwa, Kata ya Msowero, Wilaya ya Kilosa, Mkoa wa Morogoro wakivuka katika mkondo wa mto Msowero kuelekea vitongoji vya jirani ya kijiji hicho juzi.(Picha na John Nditi).
Imetayarishwa na: John Nditi
Imewekwa tarehe: 17th April 2010 @ 20:59​
</td> </tr> </tbody></table> </td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="Colorbullet"> <table align="center" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="10%"> <tbody><tr> <td class="kaziBold">
</td> </tr> <tr> <td>
04_10_p4bmhh.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="kaziBody" bgcolor="#e9a655">Mtoto Robison Lucas mwanafunzi wa darasa la nne katika Shule ya St Mary Tabata akitumia mashine maalum ya kustua moyo wa mgonjwa leo katika maonesho ya Hospitali ya Taifa Muhimbili ya kutimiza miaka 10. (Picha na Mroki Mroki)
Imetayarishwa na: Mroki Mroki
Imewekwa tarehe: 16th April 2010 @ 19:19​
</td> </tr> </tbody></table> </td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="Colorbullet"> <table align="center" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="10%"> <tbody><tr> <td class="kaziBold">
</td> </tr> <tr> <td>
04_10_ak6rwh.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="kaziBody" bgcolor="#e9a655">Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete akimpa mkono Asha Mrutu mkazi wa kijiji cha Ishinde,Wilayani Same baada ya kumkabidhi kadi ya uanachama wa Jumuia ya Umoja wa Wanawake,(UWT). Bibi Asha alikuwa miongoni mwa wanawake 60 waliopewa kadi za UWT. (Picha na John Lukuwi).
Imetayarishwa na:
Imewekwa tarehe: 16th April 2010 @ 12:09​
</td> </tr> </tbody></table> </td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="Colorbullet"> <table align="center" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="10%"> <tbody><tr> <td class="kaziBold">
</td> </tr> <tr> <td>
04_10_cpnja3.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="kaziBody" bgcolor="#e9a655">Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akizungumza na Mbunge wa Kuteuliwa , Kingunge Ngombale -Mwiru katika viwanja vya Bunge Mjini Dodoma jana. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Imetayarishwa na:
Imewekwa tarehe: 15th April 2010 @ 09:26​
</td> </tr> </tbody></table> </td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="Colorbullet"> <table align="center" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="10%"> <tbody><tr> <td class="kaziBold">
</td> </tr> <tr> <td>
04_10_hz5v6e.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="kaziBody" bgcolor="#e9a655">Kamanda wa Kikosi Maalumu cha Kuzuia Ghasia (FFU), Mkoa wa Mwanza, ambaye jina lake halikupatikana akitoa amri ya kuwaondoa wachimbaji wadogo katika machimbo ya dhahabu ya Sobora wilayani Geita ili wasiendelee kuchimba baada ya wenzao 16 kuhofiwa kufa. Wachimbaji wengine zaidi ya 20 wamejeruhiwa baada ya kufukiwa ndani ya mgodi huo. (Picha na David Azaria).
Imetayarishwa na:
Imewekwa tarehe: 14th April 2010 @ 07:56​
</td> </tr> </tbody></table> </td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="Colorbullet"> <table align="center" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="10%"> <tbody><tr> <td class="kaziBold">
</td> </tr> <tr> <td>
04_10_w7s3zv.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="kaziBody" bgcolor="#e9a655">Rais Jakaya Kikwete akifungua mkutano wa kimataifa kuhusu Ukimwi katika majeshi unaoshirikisha wajumbe kutoka nchi za Marekani, Asia, na Afrika. Mkutano huo unafanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa Arusha (AICC) uliopo mjini Arusha. (Picha na John Lukuw).
Imetayarishwa na:
Imewekwa tarehe: 13th April 2010 @ 07:06​
</td> </tr> </tbody></table> </td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="Colorbullet"> <table align="center" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="10%"> <tbody><tr> <td class="kaziBold">
</td> </tr> <tr> <td>
04_10_akx9x6.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="kaziBody" bgcolor="#e9a655">Watoto wa jamii ya wafugaji katika Kijiji cha Msoga kata ya Lugoba mkoani Pwani wakila damu mbichi ya mbuzi. Jamii hiyo inaamini kuwa damu hiyo ni nzuri kwa watoto kwa kuwa inawaongezea damu mwilini. (Picha na Eline Shaidi).
Imetayarishwa na:
Imewekwa tarehe: 12th April 2010 @ 07:41​
</td> </tr> </tbody></table> </td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="Colorbullet"> <table align="center" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="10%"> <tbody><tr> <td class="kaziBold">
</td> </tr> <tr> <td>
04_10_y5uyr8.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="kaziBody" bgcolor="#e9a655">Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete, akibonyeza kitufe kwenye kompyuta ndogo kuashiria uzinduzi wa uchangiaji kupitia simu za mikononi (CCM Mobile System) Dar es Salaam juzi usiku. Mfumo huo utawawezesha wanachama na wapenzi wa chama hicho kukichangia fedha kwa ajili ya uchaguzi mkuu ujao baadaye mwezi Oktoba kwa kujiunga na namba 15016. Kwa mujibu wa Kikwete, chama kimepanga kukusanya shilingi bilioni 40 kufanikisha uchaguzi mkuu. Anayeshuhudia ni Katibu Mkuu wa CCM-Taifa, Yusuf Makamba. (Na Mpigapicha wetu).
Imetayarishwa na:
Imewekwa tarehe: 10th April 2010 @ 19:12​
</td> </tr> </tbody></table> </td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="Colorbullet"> <table align="center" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="10%"> <tbody><tr> <td class="kaziBold">
</td> </tr> <tr> <td>
04_10_8shm0g.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="kaziBody" bgcolor="#e9a655">Binti wa Malkia wa Uholanzi Maxima akikata utepe kuzindua Tawi Jipya la NMB Uwanja wa Ndege Dar es Salaam jana. Kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ben Christiaanse. (Picha na Mroki Mroki).
Imetayarishwa na:
Imewekwa tarehe: 9th April 2010 @ 17:40​
</td> </tr> </tbody></table> </td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="Colorbullet"> <table align="center" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="10%"> <tbody><tr> <td class="kaziBold">
</td> </tr> <tr> <td>
04_10_c48hph.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="kaziBody" bgcolor="#e9a655">Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na baadhi ya chipukizi wa CCM muda mfupi baada ya kuwasili katika viwanja vya Karimjee ambapo aliongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC). Jana. (Picha na Freddy Maro).
Imetayarishwa na:
Imewekwa tarehe: 8th April 2010 @ 18:38​
</td> </tr> </tbody></table> </td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="Colorbullet"> <table align="center" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="10%"> <tbody><tr> <td class="kaziBold">
</td> </tr> <tr> <td>
04_10_vhqnmx.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="kaziBody" bgcolor="#e9a655">Rais Jakaya Kikwete (wa nne kushoto) na Rais Amani Abeid Karume wakiwa katika ibada maalum ya kumkumbuka muasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar marehemu Abeid Amani Karume iliyofanyika katika ofisi kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar. Wengine katika picha kutoka kushoto ni Spika wa Baraza la Wawakilishi, Pandu Ameir Kificho, Naibu Waziri Kiongozi wa SMZ Ali Juma Shamhuna, Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Salehe Ramadhani Feruzi, Makamu wa Rais Dk. Ali Mohamed Shein (wa saba kushoto), Waziri Kiongozi wa SMZ , Shamsi Vuai Nahodha, Waziri Kiongozi mstaafu wa SMZ Mohamed Gharib Bilal na Katibu Mkuu wa CUF, Seif Shariff Hamad. (Picha Na Freddy Maro)
Imetayarishwa na:
Imewekwa tarehe: 7th April 2010 @ 18:46​
</td> </tr> </tbody></table> </td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="Colorbullet"> <table align="center" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="10%"> <tbody><tr> <td class="kaziBold">
</td> </tr> <tr> <td>
04_10_3tgbe6.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="kaziBody" bgcolor="#e9a655">Baadhi ya Wananchi wa wakiwa katika sherehe za uzinduzi wa Nyumba mpya ya Michenzani Block No 10 pamoja na kukabidhiwa funguo watu waliovunyjiwa nyumba zao. (Picha na Ramadhan Othman).
Imetayarishwa na:
Imewekwa tarehe: 6th April 2010 @ 18:20​
</td> </tr> </tbody></table> </td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="Colorbullet"> <table align="center" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="10%"> <tbody><tr> <td class="kaziBold">
</td> </tr> <tr> <td>
04_10_h28qke.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="kaziBody" bgcolor="#e9a655">Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akiwapa watoto zawadi ya Pasaka nyumbani kwake Oysterbay, Dar es Salaam. Pinda alikula chakula cha mchana na watoto hao kusheherekea siku hiyo.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Imetayarishwa na:
Imewekwa tarehe: 6th April 2010 @ 08:10​
</td> </tr> </tbody></table> </td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="Colorbullet"> <table align="center" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="10%"> <tbody><tr> <td class="kaziBold">
</td> </tr> <tr> <td>
04_10_99nf5s.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="kaziBody" bgcolor="#e9a655">Askofu Mkuu wa KKKT Tanzania Dkt Alex Malasusa ambaye aliongoza misa ya Pasaka Kitaifa jijini Dar es Salaam
Imetayarishwa na:
Imewekwa tarehe: 4th April 2010 @ 23:59​
</td> </tr> </tbody></table> </td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="Colorbullet"> <table align="center" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="10%"> <tbody><tr> <td class="kaziBold">
</td> </tr> <tr> <td>
04_10_rs7bk8.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="kaziBody" bgcolor="#e9a655">Afisa Maendeleo ya Jamii Mkoa wa Morogoro Tumaini Luapalila, wa kwanza kushoto, akitoa misaada ya Mchele, Mbuzi, pamoja na Mafuta kwa ajili ya siku kuu ya Pasaka kwa watoto yatima wanaolelewa na Kituo cha Masista cha Mgolole kilichopo Bigwa katika Manispaa ya Morogoro jana.Misaada hiyo yenye thamani ya sh. 517,000/=, imetolewa na Rais Jakaya Kikwete katika vituo vya watoto yatima vya Miayo, Ukwama pamoja na kituo hicho. (Picha na Eline Shaidi).
Imetayarishwa na: 'Heri ya Pasaka'
Imewekwa tarehe: 3rd April 2010 @ 18:41​
</td> </tr> </tbody></table> </td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="Colorbullet"> <table align="center" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="10%"> <tbody><tr> <td class="kaziBold">
</td> </tr> <tr> <td>
04_10_tt6tf6.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="kaziBody" bgcolor="#e9a655">Frank Andoye aliyeigiza kama Yesu (katikati) akiwa amewambwa msalabani walipokuwa wakiigiza igizo la mateso na kufa kwa Yesu Kristo katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania(KKKT) Usharika wa Kanisa Kuu Azania Front Dar es Salaam wakati wa Ibada ya Ijumaa kuu jana. Kulia ni Tumaini Michael na Moses Kombe. (Picha na Mroki Mroki).
Imetayarishwa na:
Imewekwa tarehe: 2nd April 2010 @ 18:14​
</td> </tr> </tbody></table> </td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="Colorbullet"> <table align="center" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="10%"> <tbody><tr> <td class="kaziBold">
</td> </tr> <tr> <td>
04_10_mt8jk8.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="kaziBody" bgcolor="#e9a655">Mkazi wa Ukonga Mombasa akipita kwa tabu huku amejishikilia katika nguzo ya umeme kukwepa kuingia katika dibwi la maji klililopo katika njia ya Mazizini jana. barabara hiyo ya Mombasa hadi Moshi Bar na Mkolemba imeharibika vibaya kwa mashimo makubwa. (Picha na Mroki Mroki).
Imetayarishwa na:
Imewekwa tarehe: 2nd April 2010 @ 16:53​
</td> </tr> </tbody></table> </td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="Colorbullet"> <table align="center" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="10%"> <tbody><tr> <td class="kaziBold">
</td> </tr> <tr> <td>
04_10_gzsjwe.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="kaziBody" bgcolor="#e9a655">Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Utawala Bora, Sofia Simba akizindua rasmi vipeperushi vya elimu kuhusu Sheria ya Gharama za Uchaguzi Dar es Salaam jana. Kulia ni Msajili wa Vyama vya Siasa nchini John Tendwa na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Evance Balama. (Picha na Mroki Mroki).
Imetayarishwa na:
Imewekwa tarehe: 1st April 2010 @ 19:27​
</td> </tr> </tbody></table> </td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="Colorbullet"> <table align="center" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="10%"> <tbody><tr> <td class="kaziBold">
</td> </tr> <tr> <td>
03_10_jr45v7.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="kaziBody" bgcolor="#e9a655">Rais Jakaya Mrisho Kikwete (wanne kushoto) na Balozi wa China nchini, Liu Xinsheng (watatu kushoto) wakiweka udongo katika jiwe la msingi kuashiria kuanza rasmi kwa ujenzi wa Taasisi ya tiba ya moyo katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili MNH jana Dar es Salaam. Wengine katika picha ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Prof. David Mwakyusa (watano kushoto) na kulia ni Mwenyekiti wa bodi ya wadhamini wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Adolar Mapunda na wa pili kushoto ni kiongozi wa ujumbe wa Jamhuri ya watu wa China Bwana Sun Liang (picha na Freddy Maro)
Imetayarishwa na:
Imewekwa tarehe: 31st March 2010 @ 17:25​
</td> </tr> </tbody></table> </td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="Colorbullet"> <table align="center" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="10%"> <tbody><tr> <td class="kaziBold">
</td> </tr> <tr> <td>
03_10_0rvgtg.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="kaziBody" bgcolor="#e9a655">Mbunge wa Kishapu kwa tiketi ya CCM, Fred Mpendazoe, (Katikati) akiwa katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jana wakati akitangaza kujiunga na Chama Cha Jamii (CCJ), Picha na Mwandishi Wetu
Imetayarishwa na:
Imewekwa tarehe: 30th March 2010 @ 18:53​
</td> </tr> </tbody></table> </td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="Colorbullet"> <table align="center" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="10%"> <tbody><tr> <td class="kaziBold">
</td> </tr> <tr> <td>
03_10_7vy14g.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="kaziBody" bgcolor="#e9a655">Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua gwaride wakati alipopokelewa rasmi kwenye viwanja vya Ikulu ya Hanoi kuanza ziara ya kikazi nchini Vietnam, jana. Kushoto ni Waziri Mkuu wa Vietnam Nguyen Tan Dung. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Imetayarishwa na:
Imewekwa tarehe: 29th March 2010 @ 18:58​
</td> </tr> </tbody></table> </td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="Colorbullet"> <table align="center" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="10%"> <tbody><tr> <td class="kaziBold">
</td> </tr> <tr> <td>
03_10_7tvszw.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="kaziBody" bgcolor="#e9a655">Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto) akiongoza kikao cha Kamati kuu ya CCM Ikulu, Dar es Salaam jana. Wengine katika picha ni Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Amani Abeid Karume (kulia), Katibu Mkuu wa CCM Yusuf Makamba (wa pili kushoto), Makamu wa CCM Bara Pius Msekwa, Rais Mstaafu awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi, Rais mstaafu awamu ya Tatu Benjamin Mkapa na Waziri kiongozi wa SMZ Shamsi Vuai Nahodha. (Picha na Freddy Maro).
Imetayarishwa na:
Imewekwa tarehe: 28th March 2010 @ 16:58​
</td> </tr> </tbody></table> </td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="Colorbullet"> <table align="center" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="10%"> <tbody><tr> <td class="kaziBold">
</td> </tr> <tr> <td>
03_10_phsayq.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="kaziBody" bgcolor="#e9a655">RAIS Jakaya Kikwete akizindua kitabu kinachoelezea maisha ya mwanasiasa mkongwe, Sir George Kahama (wa pili kushoto) Ikulu Dar es Salaam jana. Kutoka kushoto ni Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa, Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi na mwandishi wa kitabu hicho, Joseph Kahama. (Na Mpiga Picha Wetu).
Imetayarishwa na:
Imewekwa tarehe: 27th March 2010 @ 19:21​
</td> </tr> </tbody></table> </td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="Colorbullet"> <table align="center" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="10%"> <tbody><tr> <td class="kaziBold">
</td> </tr> <tr> <td>
03_10_my97c1.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="kaziBody" bgcolor="#e9a655">Mtoto Mwanaidi Ibrahim (4) (kulia), ambaye wazazi wake wote wawili walifariki dunia katika ajali ya gari, Kibamba juzi, akiwa amebebwa na Mama yake mdogo, Sharifa Ally wakati wa maombolezo ya msiba wa wazazi wake hao, Kibamba, Dar es Salaam jana. Kushoto ni ndugu yake Salha Jaffar (3). Mtoto huyo kwa sasa amebaki yatima. (Picha na Fadhili Akida).
Imetayarishwa na:
Imewekwa tarehe: 26th March 2010 @ 18:22​
</td> </tr> </tbody></table> </td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">'Ajali'
</td> </tr> <tr> <td class="Colorbullet"> <table align="center" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="10%"> <tbody><tr> <td class="kaziBold">'Ajali'</td> </tr> <tr> <td>
03_10_0r82qy.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="kaziBody" bgcolor="#e9a655">Tela la lori la mafuta lenye namba za usajili T192ABP likinyanuliwa ili kunasua maiti tisa kati ya 11 zilizokuwa zimebanwa na tela hilo ndani ya daladala lenye namba za usajili T615AJW (chini).Magari hayo mawili yaligongana na kusababisha vifo vya abiria wa daladala hilo eneo la Kibamba nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam jana. (Picha na Yusuf Badi).
Imetayarishwa na:
Imewekwa tarehe: 25th March 2010 @ 17:23​
</td> </tr> </tbody></table> </td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="Colorbullet"> <table align="center" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="10%"> <tbody><tr> <td class="kaziBold">
</td> </tr> <tr> <td>
03_10_amgu10.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="kaziBody" bgcolor="#e9a655">Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Magazeti ya Serikali (TSN), Wilson Mukama akimsikiliza kwa makini Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo , George Mkuchika wakati wa uzinduzi rasmi wa bodi hiyo ulifanyika jana jijini Dar es Salaam(Picha na Mroki Mroki)
Imetayarishwa na:
Imewekwa tarehe: 24th March 2010 @ 16:56​
</td> </tr> </tbody></table> </td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">
</td> </tr> <tr> <td class="kaziWhite">Vodacom ndani ya TSN
</td> </tr> <tr> <td class="Colorbullet"> <table align="center" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="10%"> <tbody><tr> <td class="kaziBold">Vodacom ndani ya TSN</td> </tr> <tr> <td>
03_10_g86xm2.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="kaziBody" bgcolor="#e9a655">Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya simu za Mkononi ya Vodacom Tanzania, Ephraim Mafuru (katikati) akizungumza na waandishi wa habari wa HabariLeo na Daily News wakati Vodacom ilipotembelea chumba cha habari cha magazeti hayo kutangaza rasmi punguzo la gharama za upigaji simu. Kushoto ni Mhariri Msaidizi wa Daily News, Gabby Mgaya na kulia ni Mkurugenzi wa Mahusiano wa Vodacom, Mwamvita Makamba. (Picha na Mroki Mroki).
Imetayarishwa na:
Imewekwa tarehe: 23rd March 2010 @ 18:15​
</td> </tr> </tbody></table> </td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> </tbody></table> </td> </tr> </tbody></table>
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom