Habari kamili juu ya SAMAKI MTU anayedaiwa Kuvuliwa Bahari ya Hindi

Ng'ombe Waliokatika Mikia Machungani Wenzao Wanatawajua Kuwa Hawana Mikia
 
Niliiona hii ktk mitandao ya kijamii lkn sijapata maelezo ya kina, video yake nyingine inamuonyesha km alivyo kwa kumzunguka pande zote, anapumua km akikata roho,
kichwa km cha sangara, lakini ana mikono ya binamu kabisa halafu wameifunga kwa nyuma. Pia ana mkia wa kawaida wa samaki, ajabu sana!!
 
Back
Top Bottom